SINGIDA: Akutwa na Diesel lita 300 za kuiba kwenye magari makubwa

Hao Polisi washamba tu.

Hii ni biashara ya kila siku hasa Mbeya.
Mambo ya kawaida kabisa.

Kumsumbua jamaa tu .
 
Mwamba akutwa na Diesel lita 300 za wizi, ameiba kwenye magari makubwa

Emmanuel Juma (29) Mkazi wa Wilaya ya Ikungi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida kwa tuhuma za wizi wa Mafuta ya Diesel katika magari makubwa yanayopita Ikungi kisha kwenda kuuza kwa bei nafuu mtaani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema mtuhumiwa alikamatwa Aprili 9, 2022 na mafuta Lita 300 ambazo alikuwa amezihifadhi katika madumu ya Lita 20.

Anayenunua kwa madereva, huwezi iba Lita 300, hata mateja wa Ubungo Hawana kiasi hicho, magari yanayopita huko yana seal, hakuna mtu anaweza fungua.
 
tatizo mshkaji hajakata posho wameamua kumkomoa hili ndo tatizo la askari wetu kama hujaenda nao sawa hutoboi hata sekunde
 
Mwamba akutwa na Diesel lita 300 za wizi, ameiba kwenye magari makubwa

Emmanuel Juma (29) Mkazi wa Wilaya ya Ikungi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida kwa tuhuma za wizi wa Mafuta ya Diesel katika magari makubwa yanayopita Ikungi kisha kwenda kuuza kwa bei nafuu mtaani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema mtuhumiwa alikamatwa Aprili 9, 2022 na mafuta Lita 300 ambazo alikuwa amezihifadhi katika madumu ya Lita 20.
Kwakua anauza kwa bei nafuu wamsaidie kupata mafuta mengi ila wahakikishe hapandishi bei siku ya sikukuu.
 
Lita 300 mnamhusisha RPC?
Mwigulu aliyesaini mkataba na wachina wa matrilioni ya pesa mnamuita mheshimiwa.
Yule aliyenunua pikipiki moja kwa Bei ya milioni 11 naye mnamuita mheshimiwa.
Mwachieni huyo kijana, ni mjasiriamali mdogo Sana.
 
Back
Top Bottom