Singida: Ajali ya Bus la Takbiir

Nov 19, 2017
815
1,021
Kuna Jamaa yngu yeye alikuwa kwenye Bus la Ally's amekuta ajali ya Bus la Takbiir linalofanya safari zake kati ya Geita na Dar es salaam likiwa limepata ajali Mkoani Singida, kona ya Hingu

Kama una ndugu au Jamaa ambaye alikuwa anasafiri leo naomba ufanye mawasiliano.

Bus lilikuwa linatoka Geita kuelekea jijini Dar es salaam. Taarifa Rasmi bila shaka itatolewa na mamlaka husika

Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi Majeruhi wote waweze kupona

FB_IMG_16366430175656732.jpeg
FB_IMG_16366430016821236.jpeg
FB_IMG_16366430133922297.jpeg
FB_IMG_16366430244095644.jpeg
 
Kuna Rafiki yangu yeye alikuwa kwenye Bus amekuta ajali ya Bus la Takbiir linalofanya safari zake kati ya Geita na Dar es salaam likiwa limepata ajali Mkoani Singida, kona ya Hingu
Kama una ndgu au Jamaa ambaye alikuwa anasafiri leo naomba ufanye mawasiliano
Bus lilikuwa linatoka Geita kuelekea jijini Dar es salaam.
View attachment 2007116View attachment 2007117View attachment 2007118View attachment 2007119
Novemba-Desemba, "wanaume" wanatoa kafara ili mambo yaendelee kunyooka. Muarobaini ni KUOKOKA tu.
 
Back
Top Bottom