Singer Teddy Pendergrass dies at 59

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
NEW YORK (AP) — Legendary singer Teddy Pendergrass, dead after a long illness at age 59, spent his last 28 years in a wheelchair, left to wonder what life might have been like had a car crash not completely altered his destiny.

Before the crash, Pendergrass was one of the most electric and successful figures in music. He established a new era of R&B with an explosive, raw voice that symbolized masculinity, passion and the joys and sorrow of romance in songs such as "Close the Door," "It Don't Hurt Now," "Love T.K.O." and other hits that have since become classics.

More here
http://www.usatoday.com/life/people/2010-01-14-pendergrass-obit_N.htm?csp=34
 
Huyo bwana alikuwa gay. Ajali aliipata wakati anaendesha gari na rafiki wa kiume alikuwa akimnyonya uume. Matokeo shauri ya utamu akapata hiyo ajali iliymweka kwenye wheelchair. You reap what you sow. Hayo ndiyo maandiko na hayabadiliki.
 
What is happenng to all the old time good/outstanding crooners!? - Barry White, Gerald LeVert, Luther Vandross, now Teddy Pendegrass!!!!
Whatever the cause of their death..they will forever leave a mark in our hearts.... as far as good music is concerned.RIP TP!
 
Emu ngoja kwanza yaani wote hao walikuwa chakula a.k.a ubwabwa..eh hawa crooners sasa ngoja tusubiri ya Lionel Ritchie
 
Emu ngoja kwanza yaani wote hao walikuwa chakula a.k.a ubwabwa..eh hawa crooners sasa ngoja tusubiri ya Lionel Ritchie

Maana yake??...fafanua... mimi nasikitika kuwakosa katika ulimwengu wa music mzuri! Mengine hayanihusu..afterall kumsema vibaya marehemu sidhani inasaidia kitu... kama walikuwa wana makosa wangesemwa walivyokuwa hai.
 
Wos my sistah oh! ulipotelea wapi tena...nikajua wamekuweka mwali my sistah hujaniambia...anyways kuhusu marehemu kusema my sistah yaani juzi tuu marehemu mzee Kawawa hapa alivyokufa watu wakaanz akumsema vibaya ooh hajasoma ooh this....you know what i mean?...lakiniwakati wa uhai nobody sais anything it was all good!....mungu ilaze roho ya marehemu Tedy mahali pema peponi...Inshallah
 
Sistazz forever my dear!
Happy 2010! Nipo ndugu yangu..... si unajua tena 2010 hii inabidi kujipanga mhh!

Haya ya kusema waliotangulia....... naweza tu kusema sistah kuwa wafu wameshapita..... tuwaache wapumzike kwa amani tu maana na siye tuki pass on..hatujui yatakayosemwa.
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=GqhIxrI5Lyk&feature=related[/ame]
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=PQot3b0Py1o&feature=related[/ame]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom