Singeli vs mdundiko na mchiriku

Satuuuu

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
1,849
1,993
Naikumbuka Dar ya enzi zile wakati Bongo fleva ndo zinaanza lakini kitaa tulikua na miziki yetu ya mdundiko,mchiriku na Singenge ambapo tukiwa tunaenda shule au wakati wa kurudi nyumbani basi lazima uchelewe kufika endapo tu utakutana na hawa jamaa wanalipiga kitaa.Mimi binafsi nakumbkuka mitaa ya Kawe kilikuwa kinanukishwa sana full mavumbi.

Je niwangapi humu JF walikutana na vihoja hivyo na ilikua kitaa gani ???
 
mchiriku ni noumaa hapo unankumbusha atomic sound na jagwa music daaaah
 
WANAUME WA DAR EBU MUPITE HAPA MAANA NASKIAGA MNAPENDAGA MCHARAZO SORRY MCHIRIZI SIJUI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom