Mkwawabongo
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 154
- 116
Chama tawala nchini Singapore amabacho kimepishana miaka miwili tu na TANU(CCM) jana kiliweza kushinda tena uongozi na kuendelea kuongoza kwa miaka mingine minne. Ukilinganisha Tanzania na Singapore kwa maliasili tulizo nazo ni sawa sawa na kulinganisha kifo na usingizi. Lakini ukiangalia maendeleo hawa jamaa waliyo ni zaidi ya hata wamarekani na karibia nchi yote yenye raia takriban 2.5 million wana kipata cha zaidi ya 11million za kitanzania kwa mwezi.
Nime attach picha muone haka ka nchi kalivyo endelea wakati ina umri sawa na Tanzania kwenye Uhuru.
CCM wangeweza kuleta mabadiliko hata robo ya haya ndani ya hii miaka hamsini na nne wangekuwa na haki ya kurudishiwa nchi lakini wametuangusha na inabidi tuchukue mkondo mwinigine wenye maslahi mapana na wananchi wote.