Singapore ina Mfumo kama wa Tanzania more or less, lakini Singapore USD 60 000 vs TZ 2 000 per capital!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Per Capital income; Singapore > 60 000 vs Tanzania < 2 000 USD!

Nchi ya Singapore na Tanzania tuna fanana karibia kila kitu isipokuwa Jiografia na Utamaduni lkn karibia kila kitu kipo sawa kuanzia aina ya Mkoloni, kipindi tulichopata Uhuru mpaka aina ya Mfumo unaotawala nchi zetu tuko sawa, lkn kwa nini Singapore wamefikisha zaidi ya 60 000 USD per capital na sisi tuko kwenye 2 000?

Singapore inaongozwa na Chama kimoja kuanzia Uhuru kwanza unaweza kusema Vyama vingi ni kama hakuna, Singapore kuna all powerful President kama tu Tanzania anateua na kufukuza karibia kila mtu, tena Singapore siyo kila mtu anaweza kuwa Raisi wa nchi kama Tanzania ni wachache tu, Singapore hata Uhuru wa habari wa kujieleza hakuna yaani Gazeti haliwezi kuandika inachotaka, sasa Singapore imewezaje kutajirika kwa kutumia Katiba kama yetu na sisi tushindwe?
 
Wee jamaa hovyo sana na muongo

Singapore ni inafuata “Parliamentary System” na wala sio “Presidential System” ambayo president ana power zAidi kama Tanzania

Yaani una uongo kama sijui nini!

Tanzania ni Presidential System...Singapore inaongozwa na Parliamentary System ambapo Bunge ndio lina power na Waziri Mkuu ndio anapower zaidi ya Rais bungeni

Yaani wee jamaa sijui ni upumbavu gani unaongea...Unafananisha Singapore na ujinga gani?
 
Wyatt Mathewson,
Nafikiri yote nimeyaandika hapo juu kuelezea unaweza kusoma kama ukipenda, nimeandika ,,mfumo kama wa Tanzania more or less” !
 
Tuelezee na gharama za maisha za huko ukilinganisha na tz..maana unaweza kuta mkate wa chai unauzwa USD 2000
 
Yaani pato la mtanzania ni 2000 USD kwa mwaka au sijaelewa?

Sasa haya maswali unatuuliza sisi au tukuulize wewe na CCM yako?
 
Nafikiri yote nimeyaandika hapo juu kuelezea unaweza kusoma kama ukipenda, nimeandika ,,mfumo kama wa Tanzania more or less” !

Hivi una akili wewe?

Mfumo wa Tanzania ni Presidential System ambayo rais ndio ana power

Mfumo wa Singapore ni Parliamentary System,bunge ndio lina power,na Waziri Mkuu ana power zaidi ya Rais

Hii mifumo inafanana?

Mfumo wa Tanzania unafanana na wa Singapore kwa namna yeyote ile?

Mzima kweli wewe?
 
Back
Top Bottom