Sing about me, am dying of thirst - Kendrick Lamar

corymbosa

JF-Expert Member
Mar 6, 2018
265
141
Habari za usiku bandugu, poleni na majukumu ya kila siku na changamoto za hapa na pale, kikubwa uzima tu na kumshukuru Jah!

Turudi kwenye title ya uzi hapo juu, hiyo ngoma iko na ujumbe wa kufikirisha kidogo, binafsi nimevutiwa nayo kiasi kwamba haipiti siku bila kuiplay!

Mnaweza ipakua kwenye link hapo chini!


 

Attachments

  • Screenshot_20191002-224118.jpeg
    Screenshot_20191002-224118.jpeg
    49.1 KB · Views: 16

Similar Discussions

Back
Top Bottom