Sinema ya Kova Kwa Ulimboka Yazidi kunoga,Gwajima na Ulimboka watakuwa mashahidi wa Serikali?

Million 100 hata mimi nakataa, yaani mtu karibu afe gharama ni million 100 wakati viongozi wa serikali wanapiga dili za dola million 5? Ingekua mi ni ulimboka yaani waanze na ofa ya dola million 5 hapo ndio kidogo tutakaa mezani tuongee...sh$$y type

Hiyo ni tetesi presumptive and pre-emptive! Sawa dr. Ulli ni binadamu anaweza kupata kishawishi; sometimes people can resist anything but temptation!! lakini napenda kuamini kwamba our good dr Ulli anajiheshimu sana, he stands on a moral high ground; to the extent that he put his life on the line; shed his blood and went thru' some excruciating pain for a noble cause hawezi kuwasaliti madaktari wenzake na watanzania wengi wanaolitakia mema taifa letu kwa sababu ya utukufu wa duniani ambao hata hajui lini utamtoka mkononi! namuomba sana kila siku na kila saa iendayo kwa Mungu awakumbuke madaktari wenzie waliofutiwa usajili kila anapotafakari way forward katika sakata hili lote.

Namuombea uthabiti wa mawazo na uimara wa kiroho ili atende yale yanayompendeza mwenyezi Mungu na watanzania wengi katika ujumla wao. Akitikisika akanunuliwa basi tutamuelewa pia kuwa aliteseka for narrow selfish interests, and if the means can justify the ends; so be it! na sisi tutazidi kumuombea heri kama tulivyofanya siku zote tangu atekwe, akaumizwa mpaka aliporejea nchini buheri wa afya. Kama maisha ni mali na pesa tu basi na achukue hizo pesa, nyumba na Gari!!

Dr. Ulimboka grab the offer.What's better than money, anyway? Let's be realistic we all want money especially when there's so much on offer.

I'm sick and tired of us expecting Dr. Ulimboka to do everything for us while we sit our lazy a**es down. We are all cowards. Doctors couldn't sustain their strike in the absence of Dr. Ulimboka.

Kubenea helped to give us all the information we needed to bring this corrupt brutal regime down we allowed the opportunity to slip through our fingers. Where is people power?

Narudia, Dr. Ulimboka kama CCM watakupoza kwa pesa chukua na wala usisite. For how long are we supposed to use you as human shield?

Hivi kama umma ukisimama na kuishinikiza serikali iwajibike tutashindwa? Hivi vita hatuwezi kumwachia Dr. Ulimboka peke yake. Tuanze sisi yeye atatuunga mkono

Dr. Ulimboka chukua hizo pesa na hata usione haya. Hautakuwa wa kwanza kusaliti wananchi hivyo usiogope mbona hata Dr. Mwakyembe alitusaliti

http://irenemwamfupejamii.blogspot.com/2012/06/picha-mapokezi-ya-dr-ulimboka-hospitali.html
 
Sirikali iko tayari kuua kuliko kupata aibu,this time hawatamwokopa msitu wa pande na wala hawataorganize kishamba kama walivyofanya mwanzo.Ningemshauri dk uli awe mpole 2 maana this gvt haioni hatari kukupoteza kwenye uso wa nchi.Namshauri awasiliane na mwkyembe kwanza kabla ya kuanza kuianika serikal
kama wewe unajua, basi hilo si siri tena na intelijensia imefeli kabisa
 
Back
Top Bottom