Sinema ya Kitanzania ''MAANGAMIZI' yazidi kutambulika ulimwenguni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sinema ya Kitanzania ''MAANGAMIZI' yazidi kutambulika ulimwenguni

Discussion in 'Entertainment' started by bagamoyo, Mar 31, 2011.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  • Lazima kuheshimu wahenga zetu kwa matambiko
  • uzungu wako acha hukohuko Marekani

  Starring: Barbarao, Amadina Lihamba na Samahani Kejeri
  Movie: Maangamizi - The Ancient One
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Inazidi kutambulika kivipi? Mbona hujaelezea? Na uzuri wake ni nini hasa, maana nimekua nikisikia hii ni moja ya movie nzuri sana kutoka TZ. Asante kwa kuitundika!
   
 3. 2

  250689 Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuwa muazi..bado hatujakuelewa maudhui yako...fafanua
   
Loading...