Sinema: Tazama shoo za B.Morison hata kama ni Yanga

Kilichomsaidia Morrison kukichafua jana ni Vile viatu maalum alivyoviagiza toka South Africa na ile mvua iliyoharibu uwanja ilisaidia yeye afanye atakavyo.

Hongera kwake na kwa wale waliomleta hapa nchini, hivyo ushindi wa Jana una mchango wa Yanga.
 
Kilimsaidia Morson kukichafua jana ni Vile viatu maalum alivyoviagiza toka South Africa na ile mvua iliyoharibu uwanja ilisaidia yeye afanye atakavyo.

Hongera zake, kuna umuhimu wa Yanga kukata rufaa tena CAS
.
JamiiForums-1591892018.jpg
IMG-20211128-WA0009.jpg
IMG-20211128-WA0005.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jibu swali; ashawahi kufunga goli dhidi ya Yanga tofauti na alivoifunga simba pindi akiwa yanga?
Umewaza kama Mpumbavu. Kwani alipoifunga Simba siku ile Yanga ilichukua Ubingwa gani? Morrison anacheza kuisaidia Simba kushinda matches siyo kuifunga Yanga peke yake au Azam. Unataka na Ruvu nao waje waseme BM hajawah wafunga? Waje na AS. Vita, waje na Al Ahly, waje na Kaizer Chiefs? Be serious. Toeni huo mwiko huko nyuma muanze kuuelewa mpira.
 
Mbona mnatukana? Turudi kwenye swali
Umewaza kama Mpumbavu. Kwani alipoifunga Simba siku ile Yanga ilichukua Ubingwa gani? Morrison anacheza kuisaidia Simba kushinda matches siyo kuifunga Yanga peke yake au Azam. Unataka na Ruvu nao waje waseme BM hajawah wafunga? Waje na AS. Vita, waje na Al Ahly, waje na Kaizer Chiefs? Be serious. Toeni huo mwiko huko nyuma muanze kuuelewa mpira.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom