Sinema: Tazama shoo za B.Morison hata kama ni Yanga

Tunawashukuru sana utopolo kutuletea Morison, lakini shukrani zaidi ziende kwa mawakili waliompeleka CAS!
Lakini utopolo wajue Morison alikuwa kwa Mkapa mwaka 2018 kushuhudia tamasha kubwa kabisa Africa na duniani la Simba day!
Vile vile Morison aliwahi tamka live kwamba Simba ni chuo kikuu cha mpira Tanzania!
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom