IV kama umefanya mapenzi na mtu na huna uhakika au umesikia ni muathirka wanasema kuna sindano zina pigwa 72 hrs baada ya kufanya mapenzi,je hizi sindano zina aminika kwa asilimia ngap,na shilling ngap na aina za hospital zinapo patikana
zinasminika kwa asilimia zaidi ya 85 within 24 hrs, 75% within 48 hrs n 65% within 72 hrs. huduma hii inapatkn hospital kubwa na referal na wilaya na mikoa. uingeleza tayar zmeanza kutumika rasmi haswa kwa mashoga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.