I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,727
- 10,023
Aisee hii kitu mimi siipendi sio siri. Nikiumwa daktari ni heri kunipa mamia ya vidonge nibugie lakini sio kuchomwa sindano ya tako. Kiufupi siipendi na naiogopa kuliko.
Haha ni noma mkuu....Kushikwa tako na mwanaume mwenzio ni jau sana!
Haha unaionea huruma flat yakoNilichomwa zamani toka nilivyokuwa siwezi tena bora nichomwe ya mkononi kuliko flat yangu
Haha unaionea huruma flat yako
Ha Ha Ha Ha ukapona kabisaMimi nilikuwa mgonjwa nikalazwa hospital kosa daktar alilolifanya ni kuniambia kwamba nitachomwa sindano za makalio saa saba kamili ya usiku. Ilipofika saa sita na nusu nikatoroka
Kisenge yani...bora dem akushike hata kama tako limepauka hutaona noma.Kushikwa tako na mwanaume mwenzio ni jau sana!
Mimi nilikuwa mgonjwa nikalazwa hospital kosa daktar alilolifanya ni kuniambia kwamba nitachomwa sindano za makalio saa saba kamili ya usiku. Ilipofika saa sita na nusu nikatoroka
hivi unajua sio sindano zote zinatakiwa kuchomwa mkononi?We huna akili ungesema wakuchome za mishipa mkononi ukatoroka kabisa ehee ulipona
Hukuumwa weeeMimi nilikuwa mgonjwa nikalazwa hospital kosa daktar alilolifanya ni kuniambia kwamba nitachomwa sindano za makalio saa saba kamili ya usiku. Ilipofika saa sita na nusu nikatoroka
Hahaaaa, mkuu sasa utaponaje jamaniMimi nilikuwa mgonjwa nikalazwa hospital kosa daktar alilolifanya ni kuniambia kwamba nitachomwa sindano za makalio saa saba kamili ya usiku. Ilipofika saa sita na nusu nikatoroka