Sindano za makalioni; wale tusiopenda /waoga wa hii kitu tukutane hapa.

Kuna manesi wanakuchoma sindano huku wakisindikiza na maneno mazuuri yenye mvuto "pooooleeee"...... Lakini kuna wale uso wa mbuzi na akikuchoma sindano maumivu yake hayaelezeki halafu inachukua muda sana kupoa
 
Back
Top Bottom