sindano za kupanga uzazi..wanaume mpo??

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
nimeskia taarifa kuwa uchina imevumbua dawa ya kupanga uzazi.dawa hiyo ni kwa kupitia sindano anayodungwa mwanaume sawia na zile za wanawake na itazuia uzalishaji wa mbegu za kiume kwa mda.kati ya wanaume 50 waliofanyiwa utafiti ni mmoja tu aliyeweza kumpachika mkewe mimba.dawa zenyewe hazina side effects...duh!na vile waume hupenda kudunga sindano ma wyf zao,je watakubali kudungwa??
 
Inaelekea hayo umesikia kwa wale wauza dawa za kichina kwenye mabasi.....ndio wamejaa porojo za namna hiyo mkuu
 
Inaelekea hayo umesikia kwa wale wauza dawa za kichina kwenye mabasi.....ndio wamejaa porojo za namna hiyo mkuu
....mbona waswas kibao mkuu?subiri ki2 kiingie bongo hahahahaha.mi cpo maana ni mmoja kati ya wale 50.
 
No wachina watutuletea mpaka m*vi tutajipaka kuwa ni dawa ya ngozi.....manake utitiri wa dawa za kichina sijui nani anaziidhinisha
 
Back
Top Bottom