Sindano ya uzazi wa mpango

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Depo Provera
Ni sindano ya uzazi wa mpango iliyotengezwa kwa kichocheo (hormone) ya (progestin), sawa na homoni ya kawaida ya asili aina ya (progesterone) inayopatikana katika mwili wa mwanamke.

(Depo Provera) haina kichocheo cha (oestrogen), kwa hivyo inaweza kutumika wakati wa kunyonyesha na pia inaweza kutumika kwa wanawake ambao hawawezi kutumia (oestrogen).

Njia hii ya uzazi wa mpango hutolewa kwa sindano ndani ya misuli (intramuscular injection) kila baada ya miezi mitatu (wiki 12). Homoni huingia polepole ndani ya damu baada ya kuchomwa sindano hiyo. Fika kituo chochote cha afya kwa msaada zaidi.

1-injecting-depo-provera-contraceptive-dr-p-marazziscience-photo-library.jpg
 
Ni kweli Depo inakuwa discoraged kwa sababu za risks nyingi kuzidi benefits? Bado vituo vya serikali vinatoa?
 
Angetoke mtu mwenye elim au uelewa juu ya uzazi wa mpango mngesaidia wengi
 
Depo Provera
Ni sindano ya uzazi wa mpango iliyotengezwa kwa kichocheo (hormone) ya (progestin), sawa na homoni ya kawaida ya asili aina ya (progesterone) inayopatikana katika mwili wa mwanamke.

(Depo Provera) haina kichocheo cha (oestrogen), kwa hivyo inaweza kutumika wakati wa kunyonyesha na pia inaweza kutumika kwa wanawake ambao hawawezi kutumia (oestrogen).

Njia hii ya uzazi wa mpango hutolewa kwa sindano ndani ya misuli (intramuscular injection) kila baada ya miezi mitatu (wiki 12). Homoni huingia polepole ndani ya damu baada ya kuchomwa sindano hiyo. Fika kituo chochote cha afya kwa msaada zaidi.

View attachment 1203299
side effect zake ni zipi mkuu?
 
Haya maswala ya uzazi wa mpango ni upuuzi wa kizungu tu hivi hamuoni madhara wanayopata wanawake kwa sababu ya upuuzi ningekuwa na mamlaka nishapiga marufuku hii ki2
 
Back
Top Bottom