OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 104
- 151
Depo Provera
Ni sindano ya uzazi wa mpango iliyotengezwa kwa kichocheo (hormone) ya (progestin), sawa na homoni ya kawaida ya asili aina ya (progesterone) inayopatikana katika mwili wa mwanamke.
(Depo Provera) haina kichocheo cha (oestrogen), kwa hivyo inaweza kutumika wakati wa kunyonyesha na pia inaweza kutumika kwa wanawake ambao hawawezi kutumia (oestrogen).
Njia hii ya uzazi wa mpango hutolewa kwa sindano ndani ya misuli (intramuscular injection) kila baada ya miezi mitatu (wiki 12). Homoni huingia polepole ndani ya damu baada ya kuchomwa sindano hiyo. Fika kituo chochote cha afya kwa msaada zaidi.