Elections 2010 Since Mbunge wa Kilombero Tayari ni Mbuge Akifungua Kesi What will Happen

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Please for those in the know, Hapa kuna Kesi ya kuchakachua kwahiyo kesi ikifunguliwa je atasimama mbunge mwingine wa Chadema au kesi haitafunguliwa tena, na ikifunguliwa akashinda can someone stand on his behalf
 
Hapa iko hivi....

Kesi ni kesi na kazi ya mahakama ni kutoa haki

sasa basi kama itaonekana kuwa Mh Regia aliichakachuliwa kura zake, mahakama itasema kwamba hapa haki itatendeka, na uamuzi unaweza kuwa aidha kumpa ushindi alieshinda kihalali au kuitisha uchaguzi upya

kama wakimpa ushindi aliyeshinda kihalali ina maana Regia ataachana na ubunge wa Viti maalum na kuwa mbunge wa kuchaguliwa jimboni, so Chadema watagain one more seat kwenye viti maalum na CCM watakuwa wamepoteza mbunge wa kuchaguliwa mmoja

kama ikiitishwa uchaguzi upya ina maana vita inaanza upya, na hapo inategemea anaweza kuamua kwenda kugombea kama mwanzoni ilivyokuwa.....
 
Thanks kwa jibu zuri

Sina uhakika kama mahakama inatoa ushindi kwa liyedhulimiwa. Inachofanye mahakama ni kubatilisha matokeo kwamba mbunge hakushinda kihalali hivyo uchaguzi urudiwe
 
Soma kifungu cha 112 cha sheria ya uchaguzi ay mwaka 1985. Mahakama inaweza kudeclare kuwa uchaguzi ulikuwa void, kuwa nomination ya mgombea aliyechakuwa was void, na pia mahakama inaweza kutoa declaration kuwa the other candidate was elected.
 
Please for those in the know, Hapa kuna Kesi ya kuchakachua kwahiyo kesi ikifunguliwa je atasimama mbunge mwingine wa Chadema au kesi haitafunguliwa tena, na ikifunguliwa akashinda can someone stand on his behalf

Sheria itaangalia zaidi kama kweli kura zilichakachuliwa, na ikithibitika mahakamani ubunge unatenguliwa, ambapo uchaguzi unatangazwa upya. Hapo mtu yeyote anaweza kugombea, siyo lazima awe Mteketa au Mtema, wanaweza kujitokeza hata akina Marando au Slaa.
 
Back
Top Bottom