Sina uhakika na maneno ya Mzee wa upako

ukawa2020

JF-Expert Member
Apr 1, 2016
339
1,314
Sina hakika na maneno niliyoyapata mitandaoni kuwa kwenye ibada yako ulitushambulia chadema na viongozi wetu wa juu. Naendelea kujiridhisha nikikuta ni kweli. Chadema unatufahamu vizuri t utakuanzishia thread utaamini macho yako
 
Tatzo lenu mnapenda tu kusikia mazuri yenu...ILAH mkiambiwa ukweli juu ya MABAYA yenu INAKUA NI SHIDA SANA....na haka ni moja ya ugonjwa WENU Mkubwa sana......refer yaliyomkuta ZITTO na wengne mlio wafukuza uanachama.....chadema ya sasa haifati ile misingi yake yote ya kuanzishwa kwake na kamwe msahau NCHI HII...unless mrudi kwenye misingi yenu......kwa kufukuza wale wote wasiostahili kuwepo huko....safisheni kabsa hicho kizazi kilichoingiliwa na VIRUS....
 
Mkuu, Tatizo kubwa ni nani anayepaswa kuwaambia ukweli hao unaosema hawataki kuambiwa ukweli. Wengi wanaojaribu kuwashauri Chadema ni wale wanaokimbizana huku na huko ili Chadema kife. Hao ndio unaosema Chadema hakiwasikilizi? Be a bit intelligent...
 
Mzee wa Upako kichwani kwake ni MUFILISI.

Toka abambwe yupo bwiii amekuwa mtu wa matamko pale kanisani kwake kila jumapili.

Lakini huyu bwana ni kati ya Viongozi wa dini ambao hawana impact yoyote ile kwenye Siasa hasa za mageuzi ya nchi hii.

Na habari zilizopo ni kwamba tokea lile tukio, idadi ya waumini wake imepungua sana.

Sasa anaona solution ni kugombana na kila mtu.

Poor Lusekelo.
 
Back
Top Bottom