Sina uhakika na kazi za Polisi wa Tanzania

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
Wana jf polis wanafanya kazi bila kujua sheria za nchi leo nime park gari na hakuna alama inaonesha no park wanataka kunishika nikawauliza wapi kuna sema no park eti alama ilikuwepo zamani nikawaeleza sio kazi yangu weka alama ndio unishike.
 
wacheni ujinga hujui wezo wangu if I want jf kufungiwa it will take all 5 mins if u don't trust me ongea na mods waone kama huu mtandao hawatofungiwa
 
Kuandaa mipango ya kuhakikisha hela ya pombe inakuwepo kila siku...

Mfano.. Kutembea na vitu haramu(gongo na bangi),tayari kubambikizia watu,etc.
 
wacheni ujinga hujui wezo wangu if I want jf kufungiwa it will take all 5 mins if u don't trust me ongea na mods waone kama huu mtandao hawatofungiwa

pale mende anapomtishia simba ndipo huwa nafurahi.....
 
Back
Top Bottom