Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Hii ni report ya hali ya hewa inayoonesha kuwa karibia nusu ya Tanzania itakumbwa na ukame wa hatari tena sio wa mchezo mchezo. Bora hata ya somalia 2009.
Siku zote determinant ya kwanza ya kupredict njaa ni ukame na si bei ya chakula. Kuna maeneo nchini hasa vijijini watu huwa hawanunui chakula. Wao wanakula wanachovuna. Hawa ni wale watanzania wanaoishi chini ya dola moja kwa siku. Huyu mtanzania mwenye familia anayetumia chini ya dola moja kwa siku ameweza kusurvive kwasababu hutegemea chakula anachovuna toka shambani kwake. Sasa leo hakuna mavuno na unakuta alikuwa anategemea kipato kutoka kwenye asilimia flani ya mavuno yake. Katika kipato icho ndicho apeleke watoto shule, anunue chakula, gharama za matibabu etc. Sasa Huyu mtanzania mnategemea chakula atatoa wapi? Hata kama kilo ya unga ingekuwa bodo ni elfu moja bado mtanzania wa namna hii hawezi kununua chakula.
Mwaka 2009 wilaya 17 za mikoa ya Arusha, kilimanjaro na Manyara ilikumbwa na ukame ambao ulipelekea zaidi ya 65% ya mifugo kufa. Hata hivyo serikal ilijitahidi kutoa misaada kwa wahanga wa njaa. Ukame uliokuwepo 2009 ni wakawaida sana ukilinganishwa na unaotegemewa kuikumba Tanzania mwaka huu.
Hii ya mwaka huu ni haikuwai tokea.
Angalia kwa makini prediction report ya ukame mwaka 2009 ambayo ilitabiri ukame wa hatari ambao ulikumba sana nchi ya ethiopia, somalia na maeneo machache ya kenya na Uganda. Hii report ilionesha kuwa Tanzania kupata ukame wa kawaida. Lakini ukame huo wa kawaida ulileta maafa.
Kilichoikumba ethiopia na somalia mwaka 2009 ndicho kinatabiriwa kuikumba sehemu kubwa ya Tanzania mwaka huu.
Sasa je, Raisi wetu na Mawaziri wanalitambua hili?
Nimejitahidi kutumia picha labda ndyo itakuwa raisi kwa wao kuelewa.