Sina sauti kwa huyu mrembo, ananichanganya sana

Mbona kama nyie ndo mnavunwa sasa yan we kuachiwa 50k ya kipoozeo ndo unaona unavuna vp hali ya Hiyo K yako huko chini
Excuse me....nimekusea nn mpk unitolee mfano mimi...huna namna ingine ya kuongea...jaribu kuheshim mtu ambae haja kunenea baya..
 
Tangu nilipokutana naye tu, nakuwa namuwaza yeye; Ana sura nzuri, nywele ndefu, mweupe, mwili wa kuvutia, umbo namba nane, chura ya wastani yakuvutia (curvy), sauti nzuri ya kubembeleza; hasa pale anaponiita baby, mume wangu; najikuta naishiwa nguvu kabisa.

Nikamwambia; 'unanikoleza sana bibie, na unajua mimi ni mume wa mtu; siko tayari niitelekeze familia yangu, kwa ajili yako'. Akanijibu; 'usihofu mpenzi mi siingilii ndoa yako, ninaiheshimu sana; ila mi nataka nikupe furaha tu, ambayo huipati huko kwingine, muhimu unijali mahitaji yangu, kama mpenzi wako na utafurahi sana kuwa na mimi'.

Nikamwambia; 'kwa uzuri ulionao, nataka unizalie mtoto kama alama yangu kwako'; akajibu, 'ondoa shaka mume wangu, ni wewe tu, kwa nini nikukatalie wewe, kwani mimi nimekuwa nani?'

Hapa nilipo, nimemuambia aandae bajeti ndogo nitoke naye 'out' kabla ya pasaka, angalau akaufanyie 'service' uti wa mgongo; kwa sababu kipindi cha sikukuu nitakuwa na familia, na sitakuwa na nafasi ya kumuona.

Nilichogundua: wanaume hawana sauti kwa watoto wazuri. Ukiona mwanaume anamkoromea mwanamke, jua huyo mwanamke sio pisi kali.
Mwanamke ni pisi kali kabla hujamtombaa tuu.....ukishamkojolea mara tatu uzuri wake unashuka
 
Mwanamke ni pisi kali kabla hujamtombaa tuu.....ukishamkojolea mara tatu uzuri wake unashuka
Eeeh eti niniila kweli..
Kuna mshikaj wangu mmoja alikua anajitutumua sana..ss hv nimepata pisi kali..mara ss ni kula pisi kali tu..akanitumia na kapicha nikaone
Mbwembwe nyiingiii ..kusifia kwingi...
Tangu amle...ht kumtaja taja hamna
 
Eeeh eti niniila kweli..
Kuna mshikaj wangu mmoja alikua anajitutumua sana..ss hv nimepata pisi kali..mara ss ni kula pisi kali tu..akanitumia na kapicha nikaone
Mbwembwe nyiingiii ..kusifia kwingi...
Tangu amle...ht kumtaja taja hamna
Huo ndio ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom