sina sababu ya kusherekea mwaka mpya,wakati lipo gizani

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Aug 20, 2014
1,072
2,000
habar comrades,

Kiukwel umasikini umeongezeka kwa kasi ya ajabu..kilio kila kona si wafanyabiashara au wafanyakaz wa umma..taifa lipo katika sintofahamu..hali imekuwa mbaya kama si tete..kweny elimu kilio..kila eneo kumekuwa na shubir..kwa jinsi bwana John anavyoendesha taifa hili bila kutumia akil ni dhahir kwa jinsi anavyolivuruga..inaweza kuchukua muda mrefu kulirudisha taifa katika mwelekeo wake!
 

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,471
2,000
habar comrades,

Kiukwel umasikini umeongezeka kwa kasi ya ajabi..kilio kila kona si wafanyabiashara au wafanyakaz wa umma..taifa lipo katika sintofahamu..hali imekuwa mbaya kama si tete..kweny elimu kilio..kila eneo kumekuwa na shubir..kwa jinsi bwana John anavyoendesha taifa hili bila kutumia akil ni dhahir kwa jinsi anavyolivuruka..inaweza kuchukua muda mrefu kulirudisha taifa katika mwelekeo wake!
Alaa!basi haya,endelea na wa zamani mpaka hapo Joni atakapoanza kukusikiliza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom