Sina raha kabisa ya ngono sijui tatizo ni nini?

Sela Son

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,620
6,079
Mambo vipi.

Jamani leo nimekuja na shida moja nimekua Sina kabisa hamu ya tendo la ndoa nashindwa kuelewa shida ni nini?

Lakini kinachotokea ni kwamba nasimamisha mnara Kama kawa lakini Raha Sipati kabisa. Ninachokifanya najitahidi tu kumridhisha Shem wenu tukikutana na anaridhika. coz ni haki yake, sijiskii raha kabisa.

Notes:: SINA TATIZO LA KUTOSIMAMISHA JOGOO..
Mi ni meni.

Tafadhali soma
Kama haupendi ngono jua unaumwa tafuta wataalamu ukatibiwe
 
Hiyo huwa inanitokea mimi, hasa ninapokua na mawazo mengi (changamoto za maisha, vikwazo katika mipango yangu) na mambo mengine yanayofanya nitumie muda mwingi kuyawadha na jinsi ya kuyatatua.

Mfano: Kuna kipindi furani nilikua na kesi na jamaa, halaf jamaa katoa pesa kule, nikabambikiwa na takataka kibao katika ile kesi, haloo! nilikua nikiingia uwanjani nakua kama sijawahi hata kuona mpila hadi nikahis ndo mwisho wa ndoa!
 
Back
Top Bottom