Sina rafiki

Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,303
292
HI wana jamvi ni kipindi kirefu kidogo sana nilikuwa mabali kidogo na ninyi dungu zangu, ila niko safi na pia matumaini na ninyi mpo safi pia
tatizo langu linalonofanya niwaze kwa sana ni kuwa sipata rafiki best wa kuwa nae wakat wote namaanisha shida na raha. wakat niko shule ya msingi nilikuwa na rafiki ambaya baada ya kufika shule ya sekondali aliamua kubadilisha mfumo wake wa maisha na tukajikuta hatuendani kiurafiki
nikapata mwingine pia nilivyofeli pia akanitupa, hali hii imekuwa hivi hivi, wapo rafiki niliowaamini lakini wamekuwa wakinisengenya kwa sasbabu
mbal mbali, shida zikinipata wamekuwa wako bize, rafiki niliobakiwa nao ni rafiki wa kawaida sana moyoni mwangu sio wale niliowathamni. sielwewi jamni nianze na moja kutafuta best au hawa niwaweke moyoni wawe best.
 
Hebu jieleze vizuri wewe ni wa jinsia gani. Una umri gani. Unataka rafiki/mpenzi mwenye vigezo gani. Hapo utapata jibu.
 
hi wana jamvi ni kipindi kirefu kidogo sana nilikuwa mabali kidogo na ninyi dungu zangu, ila niko safi na pia matumaini na ninyi mpo safi pia
tatizo langu linalonofanya niwaze kwa sana ni kuwa sipata rafiki best wa kuwa nae wakat wote namaanisha shida na raha. Wakat niko shule ya msingi nilikuwa na rafiki ambaya baada ya kufika shule ya sekondali aliamua kubadilisha mfumo wake wa maisha na tukajikuta hatuendani kiurafiki
nikapata mwingine pia nilivyofeli pia akanitupa, hali hii imekuwa hivi hivi, wapo rafiki niliowaamini lakini wamekuwa wakinisengenya kwa sasbabu
mbal mbali, shida zikinipata wamekuwa wako bize, rafiki niliobakiwa nao ni rafiki wa kawaida sana moyoni mwangu sio wale niliowathamni. Sielwewi jamni nianze na moja kutafuta best au hawa niwaweke moyoni wawe best.

ndiyo ulimwengu, umdhanie siye na usiyemdhania ndiye
 
Ninavyojua mimi urafik hautafutwi, urafik unakuja automatically, ndivyo ilivyo kwan unaweza ukadhan una rafiki, kumbe mpo pamoja kwa ajiri ya jambo/kitu fulani, kwa hiyo usishangae pale anapoondoka pale kilichowakutanisha kinapotoweka.
 
Kuhusu kufel kwako 4m4 na urafiki, kuna uwezekano mkubwa wewe ndiyo ukawa na matatizo. Watu mliofeli form 4 au six, alafu best ako akafaulu vizur ndivyo mlivyo, huwa mnataka mtafutwe nyie 2, jambo ambalo ni gumu. Mi mwenyewe nimepoteza marafik weng wa aina yako, nilijitahdi kuwaweka karibu lakn wapi, nimeamua kusonga mbele.
 
Rafiki wa kweli ni Yesu tu peke yake, ila kama unahitaji washkaji tu basi usikonde kwenye mabar wapo wengi tu, ila tu usiwe mvivu wa kuzungusha round.
 
hao waliokuacha kwasababu ya kufeli kwako sishangai mana watu huwa marafiki kama wako level moja mana wanakua wanaongea lugha moja,wengine huwa kwa shughuli nyingine za kawaida.

note that: BIRDS OF THE SAME FEATHER FLY TOGETHER
 
We kama unatafuta manzi kuwa muwazi tu,lasivyo utakuwa na kasoro.
 
Ninavyojua mimi urafik hautafutwi, urafik unakuja automatically, ndivyo ilivyo kwan unaweza ukadhan una rafiki, kumbe mpo pamoja kwa ajiri ya jambo/kitu fulani, kwa hiyo usishangae pale anapoondoka pale kilichowakutanisha kinapotoweka.

well said mkuu,..halafu inawezekana kabisa jamaa ana tabia mbaya ndio maana marafiki wanamkimbia,..either ana madharau au anataka marafiki wenye status ili wamsaidie kitu flan na ndio maana anasema marafiki alionao hawathamini,..hapa ushauri mzuri ni kumwambia ajifunze kuthamini wengine ama ajifunze kujitegemea
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom