SINA RAFIKI WA MANA.

mackney

Member
Oct 20, 2018
89
79
Wadau nimejikuta sina marafiki/rafiki wa mana , tofaut na enzi hizo marafiki zangu wote naona wako mbali na mm.
Nadhan mnanielewa kumanisha rafiki haswa n mtu mnae endana nae , mmeshibana wote mnaelewana mko kitu kimoja asilimia kubwa
Waliopo naona tegemezi tu na hawana future kitu ambacho sipend. Yan unakuta mtu tofaut kabsa hatuendan kuanzia kazi nk
Labda wanapenda outing tu za kunywa kila siku kitu a sikitaki japo nakunywa mara chache.
sijui kwa nn nashindwa kupata rafiki wa kazin. inshot mm sijawah kutafuta rafiki ila mtu akinielewa huwa tunakuwa frnds sana.
kukosa rafiki bora unakuta naishiwa kwenye gambe na michepuko.
NB. Nikikumbuka advance, chuo nilikuwa na majembe hasa da.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta demu mkaali kama ww ni ke tafuta jamaa utulie.Marafiki tutakuonyesha bar zenye malaya wakalii na mziki mzuri tu nakuja kingine.
 
Yani katika kitu ambacho siwezi kulilia ni mambo ya kutafuta rafiki, hivi huwezi kuishi wewe kama wewe? Bora ingekua unatafuta mchumba

Back
Top Bottom