Sina namba ya kitambulisho cha NIDA na hivyo nasubiri maamuzi ya TCRA, nipo tayari kwa lolote

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
37,188
85,281
Laini yangu ya Vodacom:-

BALANCE

1. Salio la kawaida Tsh 0.00
2. Salio la M-PESA Tsh 0.00
3. Salio la M-PAWA Tsh 0.00

MADENI

1. Nipige tafu deni Tsh 3,000/=
2. M-Pawa deni Tsh 72,000/=
3. SONGESHA deni Tsh 57,500/=

Laini haijasajiliwa kwa alama za vidole, Sina namba ya kitambulisho cha NIDA na hivyo nasubiri maamuzi ya TCRA, nipo tayari kwa lolote
IMG-20200119-WA0016.jpeg
tapatalk_1577347409835.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kasemaje kwani?
Kasema hivyo eti waliendekeza iko alichokisema na ndio sababu mpaka leo hawana namba. 😀

 
Back
Top Bottom