Sina mtu! nataka mtu?

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
jamani heri ya sikukuu !nimewamiss sana majukumu mengi
leo wandugu naombeni mnisaidie juu ya hili,
assume relation status yako ni single hujaoa au kuolewa....lakini upo kwenye mahusiano yasiyo rasmi mpenzi mpenzi tu hajulikani kwa wazazi au hata kama anajulikana sio official! ILA MNAPENDANA
ikitokea umetokewa na mtu mwingine ni sawa kusema kuwa una mtu?au unakataaa au unyamaze tu uchekecheke umpotezee kimya kimya? maana in real sense hapa kuna mtu kweli?
na nyie wakaka mdada akikuambia hana mtu sio kwamba nafasi ipo!
 
Status... "Complicated"

Unasema tu hujui kama ninyi ni wapenzi wa kweli
ama lah! Hakuna commitment any time mnaweza kuachana, hakuna future wala malengo....

Baaaaas.....
 
kwa hiyo nafasi ipo kwa mwenye malengo sio?
 
unapokuwa una mtu mweshimu ila ukiulizwa sema ninae labda kama yeye anamahela ya kumzidi uliyenaye mpe papuchi ili uhalalishe umalaya kwa kisingizio cha hela
sasa sisi unatuuliza tuwe tunakufundisha jinsi ya kukwepa wanaume gawa tu ile haina garantii
 
Nini maana ya kuwa na mtu hasai n real sense?

Kumbuka mahusiano yoyote huanza na point zero!

And at that zero point, drammatically ndo penzi huwa non official!

But as far as you go, sexually, you make it official!
 
jamani heri ya sikukuu !nimewamiss sana majukumu mengi
leo wandugu naombeni mnisaidie juu ya hili,
assume relation status yako ni single hujaoa au kuolewa....lakini upo kwenye mahusiano yasiyo rasmi mpenzi mpenzi tu hajulikani kwa wazazi au hata kama anajulikana sio official!
ikitokea umetokewa na mtu mwingine ni sawa kusema kuwa una mtu?au unakataaa au unyamaze tu uchekecheke umpotezee kimya kimya? maana in real sense hapa kuna mtu kweli?
na nyie wakaka mdada akikuambia hana mtu sio kwamba nafasi ipo!

.....Pheeeeeewwww, No wonder wanaume wa kabila fulani kule kaskazini mwa Tanzania wameamua kuwa wauaji.
 
unapokuwa una mtu mweshimu ila ukiulizwa sema ninae labda kama yeye anamahela ya kumzidi uliyenaye mpe papuchi ili uhalalishe umalaya kwa kisingizio cha hela
sasa sisi unatuuliza tuwe tunakufundisha jinsi ya kukwepa wanaume gawa tu ile haina garantii
sasa maMBO YA PAPUCHI NA UMALAYA VINATOKA WAPI JAMANI?
 
.....pheeeeeewwww, no wonder wanaume wa kabila fulani kule kaskazini mwa tanzania wameamua kuwa wauaji.
ajhahaaaa tutapumulia mashine hivohivo anofelesi wangu ..tufanyeje ? Uchumba miaka 10?
Jibu swali pls
 
kwa hiyo nafasi ipo kwa mwenye malengo sio?

Ndio mamie... Hivi unakuwa na mtu ambaye hakuna hata siku mtakaa mzungumze future wala malengo yenu inakuja??? Ninyi mkikutana ni kupichuana tu afu kila mtu na hamsini zake, mmoja asipopiga simu wala kutext ndo week mwezi vinakatika, ukiona call ni shida fulani na kupichuana tu..... Hapo utahesabu una mpenzi???

Mbali na kuzungumzia malengo ya kimaisha hata kushauriana hakuna. Khaaaaa!!!!"!! Tupa kule........
 
nini maana ya kuwa na mtu hasai n real sense?

Kumbuka mahusiano yoyote huanza na point zero!

And at that zero point, drammatically ndo penzi huwa non official!

But as far as you go, sexually, you make it official!
upo right am strong kila kitu ni kweli huanzia point ziro...ila kumbuka kumove from ziro ni decision ya watu wawili wewe unaweza kuwa hutaki kukaa kwenye ziro ila mwenzio hataki kutoka hapo lakini mambo yote yapo ok mnapendana nk ..but mpo mpo tu sasa akitokea mtu anaetaka kumove hataki kukaa kwenye ziro?
 
ndio mamie... Hivi unakuwa na mtu ambaye hakuna hata siku mtakaa mzungumze future wala malengo yenu inakuja??? Ninyi mkikutana ni kupichuana tu afu kila mtu na hamsini zake, mmoja asipopiga simu wala kutext ndo week mwezi vinakatika, ukiona call ni shida fulani na kupichuana tu..... Hapo utahesabu una mpenzi???

Mbali na kuzungumzia malengo ya kimaisha hata kushauriana hakuna. Khaaaaa!!!!"!! Tupa kule........
mi siongelei hao mi naongelea yule ambae kila kitu yupo vizuri ila mpo mpo tu...hao wa kwako hao sitaki kukumbuka dear
mtu anakufanya hadi unajichukia eti..ptuuuuu to hel
 
ah....haya mambo yanakuongopeana kimtindo, na kila mtu anamvizia mwenzie...
 
Ndio mamie... Hivi unakuwa na mtu ambaye hakuna hata siku mtakaa mzungumze future wala malengo yenu inakuja??? Ninyi mkikutana ni kupichuana tu afu kila mtu na hamsini zake, mmoja asipopiga simu wala kutext ndo week mwezi vinakatika, ukiona call ni shida fulani na kupichuana tu..... Hapo utahesabu una mpenzi???

Mbali na kuzungumzia malengo ya kimaisha hata kushauriana hakuna. Khaaaaa!!!!"!! Tupa kule........

Hahaaa naomba tu nicheke..mana mwe..
 
Back
Top Bottom