Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
jamani heri ya sikukuu !nimewamiss sana majukumu mengi
leo wandugu naombeni mnisaidie juu ya hili,
assume relation status yako ni single hujaoa au kuolewa....lakini upo kwenye mahusiano yasiyo rasmi mpenzi mpenzi tu hajulikani kwa wazazi au hata kama anajulikana sio official! ILA MNAPENDANA
ikitokea umetokewa na mtu mwingine ni sawa kusema kuwa una mtu?au unakataaa au unyamaze tu uchekecheke umpotezee kimya kimya? maana in real sense hapa kuna mtu kweli?
na nyie wakaka mdada akikuambia hana mtu sio kwamba nafasi ipo!