Sina leseni ya Udereva lakini nimeendesha gari miezi sita

Watu wanapenda kuchukulia mambo kiwepesi sana asee.. Mkuu bila leseni kwa kuhonga unaweza kutoka Lindi hadi Bukoba na kurudi fresh tu. Ishu ni kwamba ikitokea breakdown uta solve vipi? Assume umepigwa pasi njiani, je utaweza ku claim bima ili upate fidia?

Kumbuka uko na chombo cha moto barabarani, ambako napo huko barabarani kuna madereva wa kila aina na aina tofauti za uendeshaji na vyombo tofauti tofauti hivyo umakini na tahadhari ni kitu cha kuzingatia sana. Usiishi kama unaijua kesho vile.
 
Utaona faida ya leseni, pale umepata ajali na haswa mtu amefariki kutokana na hiyo ajili.

Hapo ndipo utalia na kusaga meno. Unajiona mjanja kuendesha chombo cha moto bila leseni, omba hichi kitu kisi kutokee.

Je unajua ukimgonga mtu na akafa ukiwa hauna leseni unaweza shitakiwa kwa mauaji ya kukusudia?

Na unaweza kufungwa kifungo cha maisha na hata kunyongwa haswa pale unapo sababisha ajali iliyo uwa watu wengi kama ajali ya chombo cha abiria kama basi. Basi la mkoani linaweza beba watu 52 mpaka 60.

Omba yasi kukute.
 
Utaona faida ya leseni, pale umepata ajali na haswa mtu amefariki kutokana na hiyo ajili.

Hapo ndipo utalia na kusaga meno. Unajiona mjanja kuendesha chombo cha moto bila leseni, omba hichi kitu kisi kutokee...
Hii ni moja ya dawa muhimu ktk huu uzi, sasa wewe kama mgonjwa usiinywe yakukute
 
Apa nasafari ya kutoka mbeya to mwanza na sina leseni lakini ni dereva mzuri tu nimeshaandaa laki moja yangu ya buku mbili mbili last time nimepiga mafinga dodoma bila leseni kwenda na kurudi lakin ilinitoka elfu hamsini
Lakini gharama ya leseni si elfu sabini tu?

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Dah wabongo shida...mtu unajisifu kabisa kutokuwa na leseni?
 
wakikomaa kukuchorea mkeka ndo utajua umuhim wa leseni...au ugonge mtu utoroke kbs usionekane inchi hii
 
wana jamii forum, habarini za majukum.

naombeni ushauri ,ya kwamba ni hivi ninajua kuendesha gari vizuri sana yapata miaka 6 sasa Mara zote nilikuwa naendesha mjini tu hap . nimepata safari ya gafla kutoka DAR KWENDA MORO gari binafs ipo na mafuta yapo ya kutosha kwenda na kurudi ila sijawah kumiliki leseni je udereva na kesho asubui natakiwa niwe moro nifanye jambo chap nirud je bila leseni naweza nikatoboa na hawa trafic wetu.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Siku ukipata ajali utajieleza vizuri
 
Kak endesha gar Kama ina Kila kitu aendesha kbsa fata Sheria zote za barabarani ...mm nimetoa gar mbeya cna Cha lesseni Wal Cha mama ake Lesseni kusimama na simama vxr wakisimamisha ila weka elf mbilimbil zizizopunfua 20 uwafinyie kimtindo cna lessen na nategemea kutua dar kwa gar binafs
Sasa VX-R askari atakwambia nini zaidi ya kujichekesha chekesha tu...na kuomba shavu kwa kijana mwenzie 😂😂😂 !!! Zaidi ataomba namba tu ili ajipendekeze ukimtia buku 2 anatulia.
 
Sasa VX-R askari atakwambia nini zaidi ya kujichekesha chekesha tu...na kuomba shavu kwa kijana mwenzie !!! Zaidi ataomba namba tu ili ajipendekeze ukimtia buku 2 anatulia.
Kuna jamaa alikua anapush TLC 8 generation hana leseni akapata ajali akagonga watu 3 walikua kweny guta wakafarik wote jamaa kesi iligeuka kuwa mauaji.

Lesen ni kitu cha muhimu kuwa nacho utatoa buku mbili ila ukisababisha ajal wanabadilika jamaa hawaelewi kitu wanafata utaratibu
 
Kuna jamaa alikua anapush TLC 8 generation akapata ajali akagonga watu 3 walikua kweny guta wakafarik wote jamaa kesi iligeuka kuwa mauaji,s
Lesen ni kitu cha muhimu kuwa nacho utatoa buku mbili ila ukisababisha ajal wanabadilika jamaa hawaelewi kitu
lazma uizime kesi kwa hela ndefu
 
Kuna jamaa alikua anapush TLC 8 generation hana leseni akapata ajali akagonga watu 3 walikua kweny guta wakafarik wote jamaa kesi iligeuka kuwa mauaji,s
Lesen ni kitu cha muhimu kuwa nacho utatoa buku mbili ila ukisababisha ajal wanabadilika jamaa hawaelewi kitu wanafata utaratibu
ikawaje mwisho wake?
 
Back
Top Bottom