Sina imani na UKAWA

mwechaga

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
334
57
Wana jf,

Nimekaa chini na kutafakari kwa kina kuhusu viongozi wetu wa ukawa na nikagundua kuwa hawa viongozi hawafai kupewa nchi wala kuaminiwa.

Hizi ni baadhi ya sababu ambazo wanazo...

1. Viongozi hawa kwanza vyama vyao wanaviendesha bila demokrasia au kidikteta.

(i). Tukianza na Lipumba amekua mwenyekit wa CUF kwa muda usiojulikana sasa.

(ii). Mbowe amediriki hata kubadili katiba ya chama ili aendelee kuwa mwenyekiti hata hivyo CHADEMA tangu kianzishwe kimekuwa kikiongozwa na viongozi wakuu wa dini moja CUF, pia ni hivyo hivyo,niwazi kuwa viongozi hawa watakapoingia ikulu watatawala kidikteta maana wamezoea kung'ang'ania madaraka kwahiyo watataka wawe marais hadi wazeekee ikulu.

Lakini pia tumeshuhudia viongozi hawa wakiwa hawana uadilifu. Tumeshuhudia hivi karibuni picha za Mbowe akimla denda mwanamke hadharani vilevile Lipumba hadi leo hii anaishi gheto maana hana mke.

Watanzania hatuwezi kuwakabidhi nchi viongozi kama hawa wasio waadilifu na wasio na uchungu na nchi yetu.

Wamezoea kufanya siasa za matukio na ndo maana wamekwenda kwa nchi wahisani kuwashawishi wasitishe misaada hivi hii ni akili au matope.

Nawaomba vijana wenzangu tusikubali kudanganyika wala tusikubali kutumiwa na wanasias uchwara wanaotangaza maandamano halafu wao wanapanda ndege huku nyuma kijana usie na akili unavunjwa miguu na polis na vijana wengi wanao ishabikia cdm ni wale wasio penda kazi wanaopenda kukaa vijiweni wakisubir serikali iwaleteepesa kazi yao ni kunywa viroba na kuvuta bangi,vijana tunao jitambua tunafanya kazi na kuzitumia fursa zilizo tolewa na serikali ya ccm wala hatutumiwi kama mazombi kuandamana kama wanavyo tumiwa vijana wa chadema na chama chao poleni sana vijana wa chadomo
 
Haya..endelea kutokuwa na imani..

threads kama hizi ni kuzigomea kucomment.
 
Kwa hiyo huna imani na UKAWA au viongozi wa vyama vinavyounda UKAWA?
 
… na chama chetu huwa hatufanyi uchaguzi, mwenye kitu upita bila kupingwa…

ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CHAMA
 
Wana jf nimekaachini na kutafakari kwa kina kuhusu viongozi wetu wa ukawa na nikagundua kua hawa viongozi hawafai kupewa nchi wala kuaminiwa na hizi ni baazi ya sababu ambazo wanazi 1;viongozi hawa kwanza vyama vyao wanaviendesha bila demokrasia au kidikteta, (i)tukianza na Lipumba amekua mwenyekit wa cuf kwa muda usiojulikana sasa (ii) mbowe amediriki hata kubadili katiba ya chama ili aendeleekua mwenyekiti hatahivyo cdm tangu kianzishwe kimekua kikiongozwa na viongozi wakuu wa dini moja cuf pia ni hivyohivyo,niwazi kua viongozi hawa watakapo ingia ikulu watatawala kidikteta maana wamezoea kung'ang'ania madaraka kwahiyo watataka wawe marais hadi wazeekee ikulu,lakini pia tumeshuhudia viongozi hawa wakiwa hawana uadilifu tumeshuhudia hivi karibuni picha za mbowe akimla denda mwanamke hazarani vilevile lipumba hadi leo hii anaishi geto maana hana mke,watanzania hatuwez kuwakabizi nchi viongoz kama hawa wasio waadilifu na wasio na uchungu na nchi yetu wamezoea kufanya siasa za matukio na ndo maana wamekwenda kwa nchi wahisani kuwashawishi wasitishe misaada hivi hii ni akili au matope,nawaomba vijana wenzangu tusikubali kudanganyika.

Hatuna iman na wewe...
 
Kama huna cha kuandika si ukae kimya na utafute gongo unywe. Unafikiri kuandika kitu hadi watu wakakikubali ni awa na kutumiwa kama karatasi ya chooni?
 
Miiko ya viongozi ya jaji warioba mumeinyofoa ili muende na magunia na sandarusi stanbick mkapore
 
Wana jf nimekaachini na kutafakari kwa kina kuhusu viongozi wetu wa ukawa na nikagundua kua hawa viongozi hawafai kupewa nchi wala kuaminiwa na hizi ni baazi ya sababu ambazo wanazi 1;viongozi hawa kwanza vyama vyao wanaviendesha bila demokrasia au kidikteta, (i)tukianza na Lipumba amekua mwenyekit wa cuf kwa muda usiojulikana sasa (ii) mbowe amediriki hata kubadili katiba ya chama ili aendeleekua mwenyekiti hatahivyo cdm tangu kianzishwe kimekua kikiongozwa na viongozi wakuu wa dini moja cuf pia ni hivyohivyo,niwazi kua viongozi hawa watakapo ingia ikulu watatawala kidikteta maana wamezoea kung'ang'ania madaraka kwahiyo watataka wawe marais hadi wazeekee ikulu,lakini pia tumeshuhudia viongozi hawa wakiwa hawana uadilifu tumeshuhudia hivi karibuni picha za mbowe akimla denda mwanamke hazarani vilevile lipumba hadi leo hii anaishi geto maana hana mke,watanzania hatuwez kuwakabizi nchi viongoz kama hawa wasio waadilifu na wasio na uchungu na nchi yetu wamezoea kufanya siasa za matukio na ndo maana wamekwenda kwa nchi wahisani kuwashawishi wasitishe misaada hivi hii ni akili au matope,nawaomba vijana wenzangu tusikubali kudanganyika.

Hot air!!
 
Werema amesema hana kiti. Maana yake yeye ni tumbili, anakalia matawi.
 
wewe ndo yale mazombi yanayo tolewa kafala na mbowe kwenye maandamano

Naona uchaguzi huu menyimwa vibahasha mebakia kwenye vibuyu hapa Lumumba mnabwabwaja tu kama Nepi alivyotoa takwimu zake za vibuyu akifikiri ndio takwimu za uchaguzi
 
Naona uchaguzi huu menyimwa vibahasha mebakia kwenye vibuyu hapa Lumumba mnabwabwaja tu kama Nepi alivyotoa takwimu zake za vibuyu akifikiri ndio takwimu za uchaguzi

miaka 22 mpaka leo mmeshindwa kupata hata 20% kweli nyie ni mazuzu
 
Back
Top Bottom