Sina imani na Ofisi ya Mkemia Mkuu Tanzania

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
SINA IMANI NA OFISI YA MKEMIA MKUU.

Sijawahi kuamini kila kipimo kinachotoka Ofisi ya Mkemia Mkuu, Upotoshaji wa vipimo kwa watoto umekidhiri, upotoshwaji wa vipimo kwenye miili ya binadamu umekithiri. Na kwa kuwa Watanzania wengi ni Mburula na ugeni wa mambo, kila jambo la kipumbavu kwao huamini, kwa kuwa wanaamini kila mwenye Cheo fulani anajua jambo fulani. Kila mwenye taaluma fulani anajua kila jambo alilosoma.

Mambo mengi yanahitaji utafiti wa hali ya juu sana, nasubiri nikitoka chini nitasema yote maovu yanayofanywa chuni ya Wizara ya Afya, na kutufanya watanzania ni wajinga sana.

Deogratius Nalimi Kisandu
Mwanza.....Tanzania.
 
Hao hata mavi wanakupima na wanakubambiki
wamekuta makinikia ya gold,silver, lithium robo kilo
 
Kwa upande wangu naweza kusema, "Leo kidogo umejitahidi walau umenifanya nimekuelewa japo kwa mbali
 
SINA IMANI NA OFISI YA MKEMIA MKUU.

Sijawahi kuamini kila kipimo kinachotoka Ofisi ya Mkemia Mkuu, Upotoshaji wa vipimo kwa watoto umekidhiri, upotoshwaji wa vipimo kwenye miili ya binadamu umekithiri. Na kwa kuwa Watanzania wengi ni Mburula na ugeni wa mambo, kila jambo la kipumbavu kwao huamini, kwa kuwa wanaamini kila mwenye Cheo fulani anajua jambo fulani. Kila mwenye taaluma fulani anajua kila jambo alilosoma.

Mambo mengi yanahitaji utafiti wa hali ya juu sana, nasubiri nikitoka chini nitasema yote maovu yanayofanywa chuni ya Wizara ya Afya, na kutufanya watanzania ni wajinga sana.

Deogratius Nalimi Kisandu
Mwanza.....Tanzania.
Hiyo ofisi same time yes same time no maana nkumbuka kuna kesi ya muaji ya albino zilipelekwa nywele ili zipimwe ushahidi ikamilike lakini majibu yakaja ni za mdoli hadi ndugu wa marehemu wakalalamika.
 
Kisandu amesahau hata Hukumu za Mahakama Nazi ni za kutiliwa mashaka.
 
Back
Top Bottom