Sina imani na mwenyekiti wa jukwaa la katiba mpya

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
anaonekana mwenye nidhamu ya woga. nimemsikiza bbc akimuelezea kikwete kwa namna ya kutaka kutuaminisha kuwa kikwete ni muasisi wa mchakato wa katiba mpya na ana nia ya dhati ya kutuletea katiba mpya lakini anakwamishwa na watu aliowaelezea kama 'wanaojifungia chumbani'.

lakini kwa muono wangu, bwana huyu anayejipambanua kama mwenyekiti wa jukwaa la katiba namuona kama pandikizi la watawala.

waliomuweka kwenye hiko cheo hima wamuondoe haraka au wafuatilie kwa karibu nyendo zake.

sina imani naye.
 
Kuna masuala mengi hapa.

Je ni nani huyo?

Je mwenyekiti wa jukwaa la katiba IPI? ile ya muungano au Ya Zanzibar?

Jipambanue
 
Mzee wa ban mbona umepandisha kitu na kuondoka, sio wote waliosikiliza bbc, weka detail muhimu ili tuchangie vinginevyo umeanzisha majungu:smow:
 
Back
Top Bottom