Sina Habari Nawe....... Byeeee!!

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,219
36,219
Habari zenyu nyote.

Natumai mmeimaliza siku yenu salama hasa ukizingatia leo wakinamama duniani wameadhimisha siku ya wanawake duniani.

Basi kuna kijaruba nimekumbana nacho siku ya leo, sitakielezea kama kawaida yangu bali namuwekea huu wimbo akiusikikiza maneno yake namwambia hiviii ....." Sina habari nawee....". Bado.

Kijaruba yuko humuhumu JF naamini atasoma tuu hapa, asiposoma wenzie watamsimulia.

Kasie Matata....

Kimamboo on the Beats.....
 
Asanteee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwenzio kaja na uzi wa kutapeliwa bila shaka nawe umetapeliwa ukaamua usepe
 
Back
Top Bottom