sina confidence mbele za watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sina confidence mbele za watu

Discussion in 'JF Doctor' started by sop sop, Jun 8, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  hivi nifanyeje ili niwe na confidence coz hata kama na point nimepanga kupresent zinayeyuka kabisaaaa
   
 2. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Piga kiroba kabla ya ku-present.
  Ni dawa tosha. Kama hakuna kiroba, piga kikali chochote.
   
 3. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  daaah pombe sinywi mtu wang.
   
 4. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Basi tusubiri wataalam wa saikolojia wakusaidie.
  Mimi natwanga maji na hiyo mbinu ilinisaidia na bado inanisaidia.
   
 5. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ahaha cutakuwa addicted na siku ukikosa cndio balaa.
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kila unapoenda kupresemnt hakikisha topic unaijua sana na unaielewa sana,

  Na uende na mawazo kuwa wasikilizaji hawajui kitu,
  Pia usiwaangalie usoni angalia juu ya vichwa vyao
   
 7. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ahahahah nalo hilo neno
   
 8. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Daaah! Hapo umenigusa mkuu,hili tatizo cjui ntalitatuaje yan kama ni ukichwa nnao ila confidence sasa zero 2 zero inafikia mbele ya umati naloa jasho ka maji! Msaada zaid please
   
 9. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Jaribu training mbali mbali za ku-boost confidence in public. Kama unaweza kuandaa presentation na mwenyewe ukaikubali kua inafaa basi it is not a general confidence problem, you are confident. it is just that fear to appear in publick. training ziko nyingi, try this search.
   
 10. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kama pombe ishu piga cha Arusha mbona utatiririka mkuu.Kama hiyo nayo taabu nenda kapige kazi ya ukonda wa daladala kama wiki hivi halafu rudi utaniambia
   
 11. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mmhhhh
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  diode, kwanza pole sana kwa kukosa confidence. Tatizo hili huwapata watu wengi sana na wengine ni waoga hata kulitafutia ufumbuzi. Wewe umejaribu kulisema basi ni jasiri sana ila nafsi ndio bado inakusumbua.

  kurudisha confo yako mbele za watu fanya yafuatayo
  Hakikishsa unacho kipresent unakijua vizuri sana, tena hakikisha si tu kinadharia bali hata kimatendo uweze kudemonstrate.
  pia jua kwamba wote wanaokusikiliza are your students no matter vyeo na umri wao.
  kwenye presntetion usiangalie mtu uson hata siku moja bali angalia juu ya vichwa na fanya discussion kind of participatory zaid.
  jambo jingine ambayo ni silaha nzuri sana katika kuwin confidence ni kutumia ubao. Omba ubao wa card board kisha whatever you are presenting just put the hints to the board hata kama ni single word, ambayo kwenye pp wanaiona. na ni vizuri zaid ukiutumia kuchorea picha ama graf wajkati wa presentation. sikufich hapa utakuwa umemaliza confo la wao wote and you will be the lead.

  niliwah kujikuta na present mbele za watu wenye majina sana na mm ni just mwl i said i need the board na marker pen kila slide ikirushwa mimi naenda ubaoni kudemonstrate. ndani ya dk 20 nilizopewa nilionekana nna confo la kufa mtu kumbe ubao tu ndio ulonisaidia.

  otherwise trust yourself in wereva you are doin na penda sna kuzungumza na watu mambo yenye mantiki. hope nimejaribu kukupa ushauri
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  sante sana mkuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  karibu tena mkuu. Ila uskate tamaa hata kidogo. what matters in life understanding fof the subject matter the rest are just so simple to play with.
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Anza kufanya mazoezi kwa kuongea na vitu vya nyumbani kwako ukiwa peke yako, hakikisha hivyo vitu unachukulia kama ndio audience na watu, ongea navyo unavyopenda, kwa nusu saa au zaidi kila siku. Muda wa wiki mpaka wiki mbili, ukitoka hapo kaongee na watu na hao watu wachukulie kama vile vitu ulivyokuwa ukiongeavyo peke yako. Never fails.
   
 16. papason

  papason JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Chukua mbegu mbili tuu za mlonge( usizidishe mbegu 2! ) zilizokauka vizuri zimenye maganda na tafuna mbegu za ndani nusu saa kabla ya tukio, take from my words wewe mwenyewe utajishangaa kwa jinsi confidence level yako itakavyo panda!

  Kwa kawaida mlonge huwa una attack panic situations na kuongeza confidence level ya mtu naturally!, kwa karne kadhaa wa Apache ( jamii ya red indians ) wameitumia na bado wanaitumia sana njia hii na binafsi ilinisadia sana mpaka leo naweza ku stand on my own!
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  @gfsonwin kumbe Mwalimu umesomea hii elimu ya (Human physiology) Nimefurahi ulivyomjibu huyu ædiode Bravo mwalimu wangu.

  Human physiology is the science of the mechanical, physical, and biochemical functions of humans, their organs, and the cells of which they are composed.[1] The principal level of focus of physiology is at the level of organs and systems within systems. Much of the foundation of knowledge in human physiology was provided by animal experimentation. Physiology is closely related to anatomy; anatomy is the study of form, and physiology is the study of function. Due to the frequent connection between form and function, physiology and anatomy are intrinsically linked and are studied in tandem as part of a medical curriculum.
   
 18. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 1,185
  Trophy Points: 280
  hii nitajaribu coz kuna du mmoja namzimia ila mavoko nashindwa kuyapangilia duh kumbe mlonge NOMA!!!
   
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu, huwez ukawa mwalimu wa biology pasi kusoma anatomy and phsiology, entomollogy parasitology and . biomechanics pia maswala ya pschomotor coordination. infact si unajua shule za kibongo enzi hizo akina pro tamah tamah walitukaririsha vibaya mno.

  Namshukuru sana Mungu elimu hii imenisaidia sana. Mfano psychomotor coordination huwa inanipa confo sana la kuongea mbele za watu like naweza kudrawa attention through physical body movement and so on. Dr Kilimbai. RIP MA LOVELY LECTURER
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Bravo my Teacher thanks............ gfsonwin
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...