Sina chuki nampenda anayenipenda daima nitakuwa hivyo

Ray model

JF-Expert Member
Jul 27, 2018
207
184
Mimi nampenda anayenipenda sina chuki na mtu

Wanadamu tunapaswa kuwa wastahamilivu kumbuka tumeumbwa wanadamu wa kila sampuli

Tunaishi mchanganyiko wa watu tofauti na mioyo tofauti na tamaduni cha msingi ni kuvumiliana tu

"Just relax ukijikaza utaumia" ndivyo tunavyopaswa tuishi tusiumize mioyo kuwaza au kuumia na maisha ya mwenzio au the way alivyo hiyo itakuumiza moyo tu. Ukicomplicate haya maisha itakucost sana just refresh mind, be simple, kila kitu kichukulie poa hususan watu na tabia za watu maana tunaishi watu mchanganyiko. Ukiishi hivi utaishi kwa furaha sana just try it utanambia

Ukiwa simple ukirelax utaenjoy maisha bali ukiwa mtu wa kucomplain ya wenzio,mtu wa kucomplicate, kuumia na maisha ya wenzio utapata tabu sana.

Napenda wanaonipenda ukinipenda nakupenda

Ukinipenda naona poa tu, ukinichukia poa tu kwangu ilmradi maisha yangu yaniendee tu
 
Na sisi wanaume tunaruhusiwa kukupenda??
Kwani hiyo kupenda umetafsiri vipi wewe??
Kwani humpendi babako?kwani humpendi kaka yako?kwani huwapendi wajomba zako??ukinijibu basi utajua nilichomaanisha

Cjamaanisha kupendwa kihivyo unavyodhani wewe
 
Kwani hiyo kupenda umetafsiri vipi wewe??
Kwani humpendi babako?kwani humpendi kaka yako?kwani huwapendi wajomba zako??ukinijibu basi utajua nilichomaanisha

Cjamaanisha kupendwa kihivyo unavyodhani wewe
Hao uliowataja ni ndugu..tunajaliana..nimesema kukupenda kama navyompenda demu wangu..
 
Mod wanakujaga wapa ban watu wanao ongelea kuhusu jiwe kwa kejeli n.k kumbe kuna watu wakuwapa ban huku hadi shangazi zao. Mwanangu siwez mwita ray naonaga haya majina siyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom