kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 3,880
- 6,149
unazungumzia china ipi mzee maisha rahc. guanzhou au. nenda shenzhen au shanghai ulete hzo stor au fujiang au Beijing. au Hongkong. kwa taarifa yako mkenya ndio mwekezaji wa pili hapa kwetu akimfuata muingereza. sasa hv wanakuja huku kwetu wanawadanganya dada zetu wanawaoa wananunua mashamba makubwa kupitia dada zetu ndan ya miaka 30 ijayo wanatutawala. sio kila mahal maisha ni magum kenya kama vile tz. na china usiongee kabisa. wachina na ujeur wote wanategemea soko la mzungu kurun viwanda vyake.We mzee unaongea nini? kwa hio unaona chanzo cha wao kuwa hapo kisa ni muingereza kuwekeza kwao kuliko sisi, huyo muingereza yupo wapi sasa hivi? muingereza anamzidi nini mchina? kama unawaona british ni mastermind mbona wamepigwa big MF na nchi walizozitawala ikiwemo USA?
unachekesha mkuu...
Masuala ya hisa si kigezo rasilimali hawana acha wakomae na business, Kenya maisha yapo juu, kuanzia upangaji wa nyumba, kumiliki ardhi hata chakula ni tofauti na hapa kwetu, nikupe mfano....
China huduma za kijamii ni bei nafuu, hata pombe China ni bei chee sana, usizungumzie electronics huko ndio bei za kutupa, usizungumzie masuala ya afya ni sawa na bure, elimu n.k
USA huduma za kijamii ni ghali,
Kuna kitu kinaitwa Purchasing Power ndicho kinaifanya China iogopeke duniani, mchina anadunda na $100 siku nzima kwa mahitaji mengi...
Hio $100 nenda nayo USA uone kama jioni inafika...
Familia ya kipato cha kati Kenya inabidi itumie nguvu nyingi kuishi maisha sawa na familia ya kipato cha kati Tanzania...
Siku tukiamua kufanya vipaumbele na kampeni za uwekezaji kwa makampuni ya kigeni hapo ndipo tunawazika kabisa...
Sio ujanja eti kusifiwa mnaajiriwa sana, mnafanya sana biashara, halafu maisha ni ghali.... ni ujinga na ushamba