Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 7,393
- 14,135
Wakenya wamewaathiri kitabia. Jamaa wanabaguana mbaya ukiwa pale Moshi mjini.utawasikia mie nikamtajirishe mrombo. Siendi kununua kwa mrombo Bora niende kwa mmarangu ama mkibosho mwenzangu.Kwanini wachagga wanapewa hizo sifa mbaya za majirani nao ni asili yao au mfanano wao ni wa nini?
Moshi kila raia 10 unaokutana nao 7 wanafanya biashara hakuna Cha mama Bibi dada Kaka baba shangazi anko Wala mamdogo. Nawakubali kwa ilo so mazuri wanayo na mabaya wanayo.