sina cheti cha form four | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sina cheti cha form four

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by sop sop, Jun 6, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  jaman m nimemaliza fom six mwaka huu npo huku mbeya sasa nipo kwenye harakat za kuaply mkopo ila tatzo chet cna kipo mbal sana(mwanza)na kila kiambatansho kpo kimebaki chet tu na hal ya kiuchum sio nzur kabsa sasa hv kuna altenatvely nyingine .....msaada wenu wakuu....
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  kwani kwenye hiyo form wameandika kunaaltenative way...????
   
 3. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  daah pole sana msaidien jaman
   
 4. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 4,739
  Trophy Points: 280
  ha ha ha hah!
   
 5. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Alternative way ni kwenda kukichukua cheti,NO WAY OUT
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  No shortcut in tanzania,kachukue cheti fasta.
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu HAPO HAKUNA JINS NI KUKIFATA TU, KA VIPI KOPA NAULI HATA KWA NDUGU, JAMAA na MARAFIKI
   
 8. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,344
  Likes Received: 6,691
  Trophy Points: 280
  ushauri gani tukupe hapo!!tukushauri usitimize vigezo unyimwe mkopo!!hapo mwanza unapaona mbinguni!!!hauko serious wewe!
   
 9. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  kama unatumia simu kuingia jf uza hiyo simu upate nauli,sawaaa
   
 10. p

  poison Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Labda kama kuna mtu JF wa mwanza ajitokeze ili amwambie kilipo halafu amtumie , kashasema uwezo mdogo , labda simu hiyo ndio anawasiliana na watu wa Benki kwenye mkopo, msaidieni kama kuna mtu mwanza mumtumie
   
 11. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kama mkopo unaohitaji ni chini ya 2m, mimi nina masharti ambayo haya hitaji cheti na Interest ni 0%, uwe Mbeya,mrembo, mwenye mvuto, unaweza kijituma na kutumika.Tuwasiliane.
   
 12. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hili nalo neno jamani
   
 13. E

  Epicauta elbovitata Senior Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yan nashindwa kuelewa m2 yuko serious lakin wa2 badala ya kumsadia mnaanza kutema moshi tu..izo habal mnazoleta apa mzipeleke kwene jamvi ya joke uko..

  Oya mkuu naamin kuwa icho chet kipo xkul kwenu cha kufanya kama inawezekana tafuta namba ya mwalimu wako alafu umuombe akutumie kwa fax naamin kama ni muelewa atakusaidia tu..alafu kama vp unam2mia kidogo kitu hata kwa tigopesa..
  Gudluck buddy
   
Loading...