Sina amani naye japo nampenda huyu binti

Mueleze tabia zake ambazo anazo wewe huzitaki ili ajirekebishe,Kama anakupenda kweli atabadilika pia Kama yupo tayari kuambatana nawe atafuata misimamo yako na taratibu zako.Alivyo Leo sivyo atakavyokuwa kesho usimuhukumu kwa tabia yake hiyo mueleze ili abadilike.
 
Asante mkuu,, maana hii tabia hainipi amani kabisa yaani sms 1000 za week anamalza ndani ya week sa ndo najiuliza anachat na akina nani,, halafu na hilo swala la kusema ana kampani ya wanaume kuliko wanawake ndo inanichosha zaidi,,

Nimejaribu kumpeleleza why ana marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake mara wanawake hawana cha kumshauri,yaani kiufupi niliamua kunyamaza tu maana alikuwa kama ananikwepa.
 
Asante mkuu me ntajaribu kumsihi kama niwakuelewa ataelewa
 
Asante mkuu,, maana hii tabia hainipi amani kabisa yaani sms 1000 za week anamalza ndani ya week sa ndo najiuliza anachat na akina nani,, halafu na hilo swala la kusema ana kampani ya wanaume kuliko wanawake ndo inanichosha zaidi,,

Nimejaribu kumpeleleza why ana marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake mara wanawake hawana cha kumshauri,yaani kiufupi niliamua kunyamaza tu maana alikuwa kama ananikwepa.
Pia endelea kumpeleleza na kumchunguza vizuri ili kujiridhisha Kama hajawapanga Kwenye foleni,maana unaweza ukadhani uko peke ako kumbe wengine wameweka kambi.Kama ukigundua uko peke ako kamilisha taratibu za ndoa haraka owa umuweke ndani kuriko kuendelea kucheleweshana maana mnakaribisha majaribu.Maana Kama mnatarajia kuowana harafu yeye yupo bize na kuchat hiyo lazima ikupe wasiwasi,Kama Bado hujajitambulisha kwa wazazi wake fanya haraka jitambulishe ili uwe na nguvu ya kumdhibiti aache tabia yake.
 
Mkuu we nimweji kanda ya ziwa labda au Mwanza huku unapafahamu ?
 
Ndo shida ya kutongozwa

Unakuwa unataka ujue matawi yote.

Kisha upimishe kwenye mzani.
 
Pia endelea kumpeleleza na kumchunguza vizuri ili kujiridhisha Kama hajawapanga Kwenye foleni,maana unaweza ukadhani uko peke ako kumbe wengine wameweka kambi.Kama ukigundua uko peke ako kamilisha taratibu za ndoa haraka owa umuweke ndani kuriko kuendelea kucheleweshana maana mnakaribisha majaribu.Maana Kama mnatarajia kuowana harafu yeye yupo bize na kuchat hiyo lazima ikupe wasiwasi,Kama Bado hujajitambulisha kwa wazazi wake fanya haraka jitambulishe ili uwe na nguvu ya kumdhibiti aache tabia yake.
Japo nipo nae mbali me ntaongeza kumchunguza mkuu, yeye kakulia maeneo mengine na mimi sehemu nyingine sasa tabia yake na yangu naona kama tunachengana hivi halafu na hofu ya Mungu kama vile hana kiukweli sjapata mwafaka,

Mchungaji wangu wa kanisa nisha mwambia kuwa nataka tuoane na huyu binti, hata mama yangu mzazi nsha mwambia japo mama hamfahamu huyu binti.

Lakini mama aliniasa nisije kurupuka kwa maamzi bila ya kumchunguza kwanza.
 
Vp mkuu kuna ulazima wa kumwambia kuwa sipendezwi na tabia yake?

Maana nakumbuka siku moja tupo tunaongea kwa njia ya simu kumbe kaongeza round speaker ananiskilz huku anachat,nikaskia vibatan vinasikika ndo nikamwambia harafu upo unachati?

Ndo kuomba msamaha nimsamehe basi nikamwambia haina shida tukaendelea na mazungumzo yetu.
Hataaar, mwanamke anaekupenda na ukiwa kipaumbele kwake ni ngumu kufanya ivo, eti busy kujichatisha mkiwa mnaongea kwa sim!.. labda kama ni jambo muhimu imetokea inahitaji immediate response.
Other than that upo tuu kwake wala hakuchukulii uzito wowote.. Poleee
 
Asante, hili swala ntalifatilia kabla hatujafika mbali, lakini si uwezo wa kumzuia upo?
 
Vp mkuu kuna ulazima wa kumwambia kuwa sipendezwi na tabia yake?

Maana nakumbuka siku moja tupo tunaongea kwa njia ya simu kumbe kaongeza round speaker ananiskilz huku anachat,nikaskia vibatan vinasikika ndo nikamwambia harafu upo unachati?

Ndo kuomba msamaha nimsamehe basi nikamwambia haina shida tukaendelea na mazungumzo yetu.
Asa mtu kama huyu niwa kuombea ushauri?
Afu inaonekana kwenye haya mambo ya mahusiano pia hauna uzoefu nayo

Kaa ujifunze game ukikomaa ndo uoe
 
Back
Top Bottom