masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Prof Maghembe ni mtu wa ajabu kidogo.
Mwaka jana niliwahi kuandika mada humu jamvini juu ya matatzo ya fedha kutofika miradi mingi ya maji vijijini.
Fedha ambazo zilitengwa na kupitishwa kibajeti.Hiyo ilikuwa wizara ile ya Maji alikokuwa, Awamu ya Nne.
Alhamdu lilahi sasa kakumbukwa na Mzee Wa zpush Up, Dr John zpombe Joseph Magufuli.
Kaingia Wizara nyingine nyeti, Maliasili.
Kwa kweli ameenda vizuri hadi majuzi, na hapo ndipo simwelewi.
Hapa karibu, Wami Mbiki, wafugaji wameambiwa waondoke bila vurugu zozote.
Na nafikiri wafugaji wanatekeleza agizo hilo, chini ya uangalizi wa wizara ya Mali asili.
Sasa tena najuzi hayo hayo huko mikoa ya magharibi, hasa katika Reserve iitwayo Moyowosi Game Reserve, Meneja wa Reserve hiyo alipowachukulia hatua kali wafugaji walioingia ndani ya reserve bila kibali, na wengine wanatuhumiwa kutoka nchi za jirani, Waziri ka mwondoa meneja huyo.
(Guardian 10/4/2016 pg 3)
Sasa hiki ni kizungumkuti.
Interests za Taifa analotakiwa kulitetea waziri sijui ziko wapi, kwa wafugaji au kwa Maliasili.
Sisemi kuwa kuna kamchezo hapo, lakini wafugaji are known to be corrupt, and the ministry should rise above doubt.
Na hapo ndo unaunganisha ya wizara ya maji na haya sasa.
Hata hivyo Waziri aligonga spot on katika suala la nyani waliokuwa wakisafirishwa kwenda nje.
Katika suala la nyani, yule ndo Maghembe tunayetaka kumsikia.