Simulizi za ma-x zimevunja ndoa ya jirani

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana....

Alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga show balaa sijapata kuona, kauli hii ilimkasirisha sana mwanaume na kuhisi yeye hawezi kazi.... ndipo ukazua ugomvi na kuamua kumtaliki mkewe.

NB: Wanaume wenzangu tusiulize habari za ma-x kwa usalama wa ndoa zetu
 
Matokeo ya kuoa au kuolewa ilihali hawajitambui... kweli kwa Akili na wivu wakiafrica unadhani ukimsifia X GF au BF .. patakalika hapo ndani? Hapana
 
Hawa walikua wanatafutiana vilanga vya kuonyeshana mlango wa kutokea.
Kifupi hao wanaweza wakawa wana maduku duku ndani ya mioyo yao ambayo kila mtu anashindwa kulitoa.

Tujenga utamaduni wa kuwekana huru tuelezane hisia kila mmoja anavyo ji feel juu ya mwenzake katika mazingira ya kawaida kabisaa, itasaidia sanaa
 
usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana....

alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga show balaa sijapata kuona, kauli hii ilimkasirisha sana mwanaume na kuhisi yeye hawez kazi.... ndipo ukazua ugomvi nakuamua kumtaliki mkewe

nb: wanaume wenzangu tusiulize habari za ma-x kwa usalama wa ndoa zetu
🖐moreeee
 
Mimi kuna ugomvi niliwahi shuhudia wa Mke na Mume.

Siku hiyo walianza kuhadithiana idadi ya maX wa kila mmoja as if wanataka kutubu dhambi.

Mwanaume akaanza kuhesabu maX wake, of course alikuwa anataja jina na kuliandika kwenye daftari. Baada ya Hesabu ikaonekana Mume amewahi kuwa na MaX 43

Mwanamke naye akaanza kuandika MaX wake, kidaftari kidogo kilijaa akawa anataka kuanza kuorodhesha kwenye daftari lingine, maX wamefika 324+

Aisee Mume akamrukia mkewe, ngumi, kichwa

Ikabidi tuingilie kati kuwaamua.

Nilichojifunza usishindane na Mwanamke, Yeye anatongozwa wakati sisi tunatongoza plus kuhonga saa ingine ili kukubaliwa.
 
Usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana....

Alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga show balaa sijapata kuona, kauli hii ilimkasirisha sana mwanaume na kuhisi yeye hawezi kazi.... ndipo ukazua ugomvi na kuamua kumtaliki mkewe.

NB: Wanaume wenzangu tusiulize habari za ma-x kwa usalama wa ndoa zetu
Nilishaambiwa hivyo,nikamjibu mlikuwa mnaendana mimi hatuendani ndio maana sina mzuka nawewe ,kamuulize Khadija atakwambia show zangu ndio maana hatuachani mpaka leo.
 
Ifike mahala tufuate ushauri wa jokajeusi kupunguza matatizo ndani ya ndoa.
 
Wanaume tukitaka sababu utatupa tu. Unadhani angekuwa anataka kuendelea na ndoa angepiga stori za X? Alikuwa na lake.
 
Hivi wewe na mpenzi wako mko serious au mmeshaoana? Kuna haja gani ya kufukua makaburi?
 
Usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana....

Alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga show balaa sijapata kuona, kauli hii ilimkasirisha sana mwanaume na kuhisi yeye hawezi kazi.... ndipo ukazua ugomvi na kuamua kumtaliki mkewe.

NB: Wanaume wenzangu tusiulize habari za ma-x kwa usalama wa ndoa zetu
mwanakulifind mwanakuliget!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom