Simulizi yenye funzo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,606
696,715
Daktari usijali! Najua nitakufa muda wowote kuanzia sasa. Sikutaka kuja hospitalini ila manispaa imenileta hapa.
Usijali kuhusu mimi, angalia nywele zangu, zimekwisha. Mimi ni mzee lakini wewe bado u kijana maridadi na ninautamani sana ujana wako.
Nimejifunza vingi ktk maisha, Kama hutojali nitakueleza kwa uchache kabla mauti haijanichukua.

Nikiwa na umri wa miaka minne, nilikuwa nikifikiri Dunia yote ni mimi tu. Nilipofika miaka 14 nilitamani kutawala dunia. Nilifikiri ningekuja kuwa mtu maarufu ambaye amepata kuishi ulimwenguni.
Nilipofikisha miaka 21 nilitamani kuwa mtu tajiri sana na nilipokua na miaka 25 nikitamani kuwa na mpenzi. Na nilipokfikisha miaka 40 nilitamani kuwa mtu ambaye nitatoa misaada kwa watu wasiojiweza.

Sasa nipo hapa kitandani hospitalin kwako, nakufa muda wowote!! Unaona?? Nilitamani vitu vingi kwa nyakati tofauti tofaut ktk maisha.
Kikubwa zaidi nilikuwa natafuta furaha ya maisha. Njia nzuri niliyoiona njema ya kuitafuta furaha niliona ni kuwasikiliza watu wanachoniambia.

Nilipotaka kuingia chuo kikuu nilitamani sana kusomea elimu ya wanyama (Zoology) lakini kila mtu aliniambia nisomee uhandisi, kwamba ningekuja kuwa mhandisi mashuhuri sana.
Hivyo niliwasikiliza wao nikajiunga na programu ya uhandisi. Hakuna aliyekuwa akinisaidia ada. Nilikuwa nafanya kazi kama kibarua kila likizo ili kujikimu ada.

Mwaka wangu wa tatu nilishndwa masomo baada ya kufeli vibaya. Masomo yalikuwa magumu sana kwangu. Wale walioniambia kwamba nisome uhandisi sasa wakasema ungejua ungesoma elimu ya viumbe hai zoology.

Nilipofika miaka 28 kila mtu aliniambia kuwa natakiwa nioe kwani umri umeenda sana. Nikaoa! Baada ya Miaka sita ya ndoa nilimfumania mke wangu na jirani yangu.

Nilimuuliza kwann amefanya hivyo, kwa dharau akaniambia nimwache me simfai. Nilishikwa na hasira na sikumsemesha chochote.

Siku iliyofuata niliporud nyumban toka kazini sikumkuta. Alikimbia pamoja na watoto wangu. Sikumpata hadi leo nakufa hapa nikiwa peke yangu.
Nilipokua na miaka 40 nilishinda zabuni ya Tsh milion arobain. Zabun yangu ilitangazwa ktk magazeti na jina langu likiwemo.

Siku iliyofuata marafik zangu na ndugu zangu walifurika nyumbani kila mmoja akiwa na shida yake. Baada ya week moja nilikopesha pesa yote kwa miadi kuwa ningerudishiwa ndani ya kipindi kifupi.

Sikumaliza zabuni niliyopewa kwa sababu pesa yote iliniishia. Hivyo nilifungwa gerezani miaka 6 hakuna hata mmoja miongoni mwa wadeni wangu aliyekuja kunijulia hali walau na kipande cha sabuni tu!

Nilipotoka gerezani nikiwa mgonjwa sana sikuwa na msaada wowote.
Ngoja nikwambie kitu! Sikujipa nafasi ya kuisikiliza ni nini nafsi yangu inataka. Niliikana nafsi yangu na kukazana kusikiliza ni nini watu wananiambia nami nilichukua moja kwa moja shauri zao bila kushirikisha nafsi yangu. Sasa nipo hapa mtu pekee ambaye ninae ni mimi mwenyewe.

Unaona? Ni vema sana kuwasikiliza walimwengu. Ni busara sana kutafuta ushauri kwa watu ila ni vema zaidi kama utaishirikisha nafsi yako. Ni hatari sana kudharau kile nafsi yako inataka kukifanya. Ni hatari mno kudharau ndoto zako!

Kijana wangu, mimi nilichelewa ila wewe bado hujachelewa, utakaporudi nyumbani kaa chini, chukua glass ya maji funga macho yako halafu ongea na nafsi yako, jipe nafasi ya kufikiria, dadavua kila jambo, jiulize ni jambo gani unataka kufanya lenye tija ktk maisha yako.

Mtu pekee atakayeingilia ndoto zako ni Mwenyezi Mungu. Baada ya yeye sikiliza nafsi yako kwanza. Najua inaweza isilete maana kwako kwa muda huu ila kwa baadae italeta maana hasa baada ya matokeo ya aina yoyote yale.

Sikiliza ya watu, usikilize moyo wako na tumia akili yako, kamwe usiiache.
Mwenyezi Mungu akubariki!

happy new year 2019

Jr
 
The first to reply
 
Wise message.....

Happy new year

Sent using Jamii Forums mobile app
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom