gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 759
- 1,245
KIONJO!
Kweli nimeamini kuwa asali haionjwi, ni lazima utarudia tu kuionja mpaka utakapo imaliza yote na katika harakati za kuisaka asali iliyo bora ujiandae kung’atwa na nyuki.
Hayo ndiyo maswahibu yaliyomkuta Jamal Twaha (JT) kijana aliyepata mafanikio ya haraka ndani ya jiji la Dar es Salaam lakini baadaye akaja kuitelekeza familia yake kwa kutekwa na mchepuko!
Mwisho wa yote alikuja kugundua kuwa nyama ya bata ni nyama na ya kuku pia ni nyama japo kuwa zinaladha tofauti. Ndipo alipojirudi kwa mkewe.
JT alijikuta akijutia sana kukurupukia uji wa mgonjwa kwani aliutamani kwa sura na muonekano wake ila alipounywa akautapika kutokana na limao na chumvi iliyojazwa kupitiliza.
Mariam mkewe JT alivumilia yote bila kikomo japo kuna kipindi alikata tamaa lakini baadaye aliyasamehe yote bila kikomo na sasa anafurahia ndoa yake bila kikomo.
Ndugu msomaji ushauri wangu ni kuwa, unaposoma riwaya hii uache ile tabia ya kuzuia maji kwa kujenga ukuta kwani maji hufuata mkondo wake na hata kama ukijenga ukuta wa zege ama hakika utavunjika tu.
Hivyo penye kucheka cheka, penye kulia lia na penye funzo ujifunze pia. Ahsante na karibu sana.
SEHEMU YA 01 ---> Inaanzia kwenye comments
(Maoni ushauri 0719682352)