Simulizi ya kweli ya maisha yangu

Hakuna ubaya Mkuu iwapo utamtaja mwandishi kila baada ya episode moja
kuna Hadithi nyingi na nyimbo watu wanaweka nakala bila madhara
Mfano masimulizi , mashairi ya kina Shaban Robert, au nyimbo za kina Malaika, au Karoli Mama wa kihaya, ungesema wewe ndio mtunzi na ukaiuza hiyo Hadithi ndio makosa utakayoweza kubanwa, pia kuna muda wa mmiliki (sikumbuki ni miaka mingapi tangu atunge hadithi hiyo au wimbo wa mtunzi)
wewe mwaga hadithi yenyewe au tupe Link tukasomee huko au hata tupaste humuhumu. Tumekutana na hadithi za kina Mwanamalundi na hakuna madhara
Mashutumu yamekua mengi nimeona niipotezee
 
Sawa mkuu ngoja niandae nondo
 
Back
Top Bottom