Simulizi ya kweli "Lucid dreams and an imaginary world"

izo biz

JF-Expert Member
May 3, 2022
1,946
3,060
Simulizi ni ya kweli, Inahusu matukio ya kiroho yaliyonikuta mwaka 2016 hadi 2018 kabla ya kutenganishwa na nguvu za kiroho zilizokuwa tayari zimeamshwa ndani ya mwili wangu, yaani Godnes Power!

"Ndoto tulivu / shwari na ulimwengu wa kufikirika machoni pa binadamu"

Simulizi iliyosheheni mambo ya kutisha na kustaajabisha ambayo hayakupaswa kuonwa kwa jicho la mwanadamu, lakini niliwahi yashuhudia!

Matukio kama vile vita kali inayoendelea kati ya kundi zima la Lucifer na Maraika watakatifu, roho za wafu zinazoranda randa duniani, viumbe visivyo vya kawaida, virefu lakini mfano wa binadamu! Maongezi na wanyama kama vile paka na mbwa! Yote haya utayapata ndani ya simulizi hii!

Mwanamke ni nani, na je ni kivipi maamuzi yake yanakuwa si ya kueleweka? Siri yote niliipata huko! Na je ubavu sahihi wa kila mwanaume u wapi? Yote haya yalifunguliwa huku! Kwanini meditation (tahajudi) na kwanini viumbe tunaishi maisha ya kufikirika ambayo hayana uhalisia wa yale tunayoyaona? Programmes zote zinazotu control nilipatiwa fumbuzi zake!

Nahisi mwisho wa simulizi hii kila mtu hatotamani tena kufanya YOGA, tahajudi (MEDITATION) na AUSTRAL PROJECTION kwa ajili ya amani ya moyo wake!

Je, kuna maisha baada ya kifo?

Kaa mkao wa kula na kujifunza!
Soon simulizi hii itaanza rasmi!

NB: Replies za neno CHAI zitakapokuwa too much zitauvunja moyo wa msimulizi, na simulizi kuishia njiani!

yoga-2176668__480.jpg
 

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
6,615
13,747
NB: Replies za neno CHAI zitakapokuwa too much zitauvunja moyo wa msimulizi, na simulizi kuishia njiani!

acha kutujambisha wee hebu lete hiyo chai ya manjano.
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
26,973
30,055
tafadhali mkuu.

umeamua kwa utashi wako kutushirikisha jambo lako,wala hatukuwa na taarifa nalo tukiwa tumechill kwa aman kabisa.

mambo ya inaendelea hatuyataki maana dalili zimeshaanza,kama unaona huna muda wa kuileta na una kazi nyingi better futa utaileta siku nyingine.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom