Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

unataka ufananishe nyuma kwako na kwa huyo mwanamke ?
we endelea kutoa tuu utapata utakacho.
 
Ila hii haina mahusiano na watoto utakaozaa.. Na kwa jinsi hali ilivyo ukimpata mzima ni nadra sana na kamwe hawezi kukwambia

Acha kujitia moyo bro, kati Ya dhambi kubwa ambayo haina msamaha kwa Mungu ni hiyo and kama dhambi zingine tu za kawaida inaweza kuja kuumiza kizazi chako, iwaje kwa dhambi hii iliyopelekea sodoma na gomoro kuteketezwa kwa Moto.. Hakika na kuambia hii ni dhambi kubwa Ya kumkufuru Mungu.. Katika vitabu vya dini, Mungu anaweza kuadhibu kizazi cha kwanza mpaka cha nne kutokana na dhambi Ya mtu husika..

Ndio maana unaweza ukakuta unazaa mashoga tu kwenye familia..And ukifuatilia historia ya wazazi au mababu zao,unaweza kuta mzazi mmoja alikuwa wanatabia Ya kisodoma.Acha kuwatia watenda dhambi moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok nimechoka.

Wadau mnazingua mada ni tigo this tigo that, hatuna deals zingine?

Umtambue anayefi.. ili umfanye nini? Mbona kanuni zingine ni rahisi? Anafanya we hufanyi baki na misimamo yako abaki na yake.

Mnazingua sana.

Ila nataka mjue hilo ni kosa kisheria, uthibitisho wowote ukiwepo kua tukio limetokea au lilikua linaelekea kutokea ni jela miaka 35.

I hope utaenda kuolewa na Nyapala huko ndani. Mnatia aibu wazee
 
Hapo vip!!
Kiukweli kwa nyakati hizi wanaume ambao tunania Ya kuoa tunawakati mgumu na changamoto kubwa sana.

Naamini kwa mwanaume mwenye maadali na mwenye hofu Ya Mungu, akimuoa mwanamke mwenye tabia ya kutoa kinyume na maumbile Mungu aliyohalalisha, itakuwa ni fedheha kubwa na laana hata katika watoto mtakao wazaa.

Kwa siku hizi, hii tabia inaonekana ni kwenda na wakati au ujanja fulani Kwa msichana au mwanaume kufanya hivyo..

Hii tabia haitaacha, hii new generation salama,kwasababu inaenea kwa kasi kama Moto wa petroli.

Inasikitisha sana, tena sana... Imaging umemuoa mtu mwenye tabia kama hizi..nawanasema kama alishazoeshwa lazima atamtafuta mwanaume mwenye kutumia kule ili awezekuridhika,sasa hii ndoa itakuwa salama kweli ,anyway kwa baadhi Ya wanaume mnaependa kutumia kule kwenu sawa tu..

Sasa ilikuepuka kuingia kwenye ndoa na mwanamke mwenye tabia kama hizi utafanyaje uweze kugundua mapema..?
Huwez hadi uwe unamlamba mtaro
 
Ukisikia kama ni mwanamke anakupigia hizo stori ila humo kwenye stori anawaweka marafiki zake halafu mwisho anakwambia “Mimi mtu akinifanyia huo mchezo namuua/namchoma kisu/mahusiano yanakufa siku hiyo hiyo

Brother jua wameshafumua huyo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapo vip!!
Kiukweli kwa nyakati hizi wanaume ambao tunania Ya kuoa tunawakati mgumu na changamoto kubwa sana.

Naamini kwa mwanaume mwenye maadali na mwenye hofu Ya Mungu, akimuoa mwanamke mwenye tabia ya kutoa kinyume na maumbile Mungu aliyohalalisha, itakuwa ni fedheha kubwa na laana hata katika watoto mtakao wazaa.

Kwa siku hizi, hii tabia inaonekana ni kwenda na wakati au ujanja fulani Kwa msichana au mwanaume kufanya hivyo..

Hii tabia haitaacha, hii new generation salama,kwasababu inaenea kwa kasi kama Moto wa petroli.

Inasikitisha sana, tena sana... Imaging umemuoa mtu mwenye tabia kama hizi..nawanasema kama alishazoeshwa lazima atamtafuta mwanaume mwenye kutumia kule ili awezekuridhika,sasa hii ndoa itakuwa salama kweli ,anyway kwa baadhi Ya wanaume mnaependa kutumia kule kwenu sawa tu..

Sasa ilikuepuka kuingia kwenye ndoa na mwanamke mwenye tabia kama hizi utafanyaje uweze kugundua mapema..?

jaribu kukosea masunduku yale unayo taka kupigia kura sijajua chama gani unacho kipenda
 
Back
Top Bottom