Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Hii ilishakuja humu na tukaikanyaga kanyaga humu.
Chai tu hizi hamna kitu kama hiyo , msiwe mnatenda dhambi kwa kutuletea ushuhuda wa uongo kupambana na dhambi.
Hii ni taka taka tu , haina ukweli wowote.
 
aaaah kuzama chumvini sawa lakini kula mgongo duh!

hakuna jema hata moja.kuzama chumvini,kunyonya uume na n.k kwani mwenye enzi mungu hakuumba hivyo ni ukorofi wetu tu sie binadamu.tujifunze na tukiri kuacha wale ambao ni addicted .
 
Huu ugonjwa wa kuziba tundu la mkojo upo sana
na hasa huwapata watu wazima km 60yrs na zaidi lakinisio kwa ajili ya kusukuma taka
mm nina ndugu yangu kila baada ya miaka miwili anawekewa mirija na kuzibuliwa
ngoja waje MaDR
 
Story ni nzuri na inafundisha sana... hata kama ni ya kutunga lakini maudhui yake yana faida kwa jamii. Nawashangaa wanaoiponda eti kisa ni ya kutunga... mbona za kina shigongo mnazifurahia ?. Asante mleta mada kwa funzo.
 
  • Thanks
Reactions: cmp
!
!
duuuuuh! ila wakuu swala la kufanya kinyume na maumbile, ni dhambi ambayo hata shetani haijui kaijulia kwetu. Sio inshu, mbona chini ya kitovu juu ya mqundu kidogo panatosha tu fresh, kwani mpaka huko? hapana jamani.
 
Ninae rafiki yangu ambae tumekuwa wote angali tuko makinda, masomo ndio yaliyotuachanisha, kwani yeye alienda kusoma Mtwara nami nikabaki Dar es salaam.

Mwaka juzi ndipo alipomaliza elimu yake ya chuo pale Co-TC.Tangu arudi hiyo mwaka juzi amekuwa na katabia kachafu ka kutaka na kupenda kuingiliwa kinyume na maumbile.

Ilifikia hatua akawa anakuja na tango ili niweze kumuingiza huko nyuma, ni kinyaa kwa kweli.Ila anapoelekea, nadhani hali yake itakuwa mbaya zaidi.Nimekataza bila mafanikio,now nimemuacha tu.
Nashindwa nimshaurije maana :fear: :fear: :fear:
 
Kama ananunua mwenyewe hayo matango we kinakuuma nini ,mambie atafute tikiti maji
 
Back
Top Bottom