Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Mara nyingi nimewasikia watu wakisifia kula au kuliwa tigo, sasa kwa nini wanyama kama mbwa,mbuzi simba hawatumii tigo?

Swali la pili ni kwa nini wanyama dume kwa dume hawafanyi mapenzi pamoja kama Binaadam? Au tuseme hakuna mbwa shoga au simba shoga? Inakuwaje? Au ndio tuseme wanyama wamewazidi Binaadam kwa akili?
 
Hili swali zuri sana ila lingepaswa kujibiwa na wahusika wa huo USHETANI.

Hata hivyo hii thread haihusu MMU bali inahusu maingiano ya kimaumbile. Nadhani hata kule Mambo ya Kikubwa haifai kupelekwa maana nahisi itakuwa na majibu ya KISHETANI zaidi kama itafafanuliwa kama mleta mada anavyotaka
 
kwa hakika wametuzidi akili, na wanajua nini kichafu,wapi kumekatazwa...ila duh!! binaadamu sasa ukisikia neno "la mchina hilo" ukiacha kuangalia unayanyima haki macho ysko..kwani utaona dude hilooo....mawazo yanakuwa kitigotigo tuu...kah!:wink2:
 
Mkuu hujawachunguza vizuri,wanyama wanafanya sana tu ushoga ningeweza kukupostia hapa video zinazoonyesha ushoga wa wanyama lakini hii ni public forum kama ukitaka waombe mods waihamishie mada yako jukwaa la wakubwa ili nikuunganishie video za wanyama wakilana tiGo dume kwa dume kisha ubadili hiyo heading yako hapo juu.
 
curiosity ya binadamu ndiyo inayomfanya awetofauti na wanyama, kunavitu vingine tumeiga kwa wanyama kama kulamba chumvi, denda, mikao wakati wa tukio...,
 
wanyama huwa wanaingiliana kinyume na maumbile, kuna siku moja bata dume lilimpanda jogoo hadi jogoo akafa! Halafu kuna jamaa yangu alikuwa na mbuzi beberu ambalo lilikuwa na nyege balaa... yaani halichagui mbuzi wa kupanda; lilikuwa linapanda hata mbuzi dume wadogo wadogo.
 
nafakiri wanyama ni wacha mungu kuliko bin-adam,.....
 
Sijawahi kuona mnyama amuingilie mwenzake kinyume na maumbile yake,wanyama wanajua ni wakati gani wa kufanya tendo na wanakuwa wanajua ni kwa ajili ya kuleta mtoto na si vinginevyo.Kutokana na Mungu kutujaalia sisi binadamu utashi wa kujua mema na mabaya tumeamua kuutumia utashi huo kwa kufanya mabaya na kuacha mema ambayo Mungu alitujaalia.
 
Mkuu hujawachunguza vizuri,wanyama wanafanya sana tu ushoga ningeweza kukupostia hapa video zinazoonyesha ushoga wa wanyama lakini hii ni public forum kama ukitaka waombe mods waihamishie mada yako jukwaa la wakubwa ili nikuunganishie video za wanyama wakilana tiGo dume kwa dume kisha ubadili hiyo heading yako hapo juu.

Mi nimewahi kuwaona MBUZI katoliki...........
 
Mkuu hujawachunguza vizuri,wanyama wanafanya sana tu ushoga ningeweza kukupostia hapa video zinazoonyesha ushoga wa wanyama lakini hii ni public forum kama ukitaka waombe mods waihamishie mada yako jukwaa la wakubwa ili nikuunganishie video za wanyama wakilana tiGo dume kwa dume kisha ubadili hiyo heading yako hapo juu.

Jamani, ni 'tiGo' au 'tigo', sielewi.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom