Simulizi ya 'GERANIMO' kwenye front page za magazeti..

Ubaya ni kwamba haiko hivyo? Mimi nimefanya 'research' yangu kutoka vyanzo mbali mbali na nikaandika kwa mtazamo wangu.. Wao pia walipaswa kufanya research yao na kuandika makala yao but kama wanachukua makala niliyoandika mimi walipaswa kutoa credit..
bro usibishane nao wengine ndio waandishi wenyewe wa hilo gazeti.
 
Haka kanchi kanakomedi chifu, hivi vidole vitauma kubishia mijitu ambayo hayajasoma makala hata moja, au wamesoma moja nyingine hawajasoma ngulumbili achana nao mzee, we leta tuu vitu vizuuri wakusoma tusome wakusema vwatasoma baadae ili wabishe waendelee. Ila weka vitu mkuu
 
Back
Top Bottom